Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

Thank you sooo much kaka RRONDO ile kitu ni powerful kuliko maelezo ya mdomo nikiwa drifting zone nikisikia sasa inakuja imprezza au evo huwa natoka mbali kabisa na ring!!!!!!!!! Sababu unaona kabisa hatari hii hapa inakuja hiyo BOV sio tu ni functional ila ni burudani sana kama inapata mtu mwenye mkono mwepesi kwenye stiki!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha,ile kitu inaleta mdadi wa kumaliza gear zote ndio maana vijana wanakimbia sana na hizo gari, kuna mmoja nimemuona kaandika IMPREZA yake "REAL MAN DRIVE WITH THREE PEDAL" aisee!!!! halafu mimi nina two pedals[automatic] with 'fake' manual option on the side
 
Ha ha haaaaa kama nakuona mtu mzima unasemwa na huna jinsi ya kujibu sababu ukweli unabaki kuwa ukweli!!!!! Pole kaka RRONDO.........

The whole turbo action achilia BOV add ni suala linaloongeza sana mzuka wa kuchapa mashine
 
Last edited by a moderator:
Nimeisoma mkuu lakini ndio za vijana hizo.

Sasa ukiwa safarini ukikutana na hao watoto ndio utawajua vizuri......na kama uko na familia ndio kabisaaaa!!!!!!!!!!!
Kuna mmoja niliongozana naye Mdaula mpaka Moro kwa kweli alininyanyasa sana mtoto yule!!!!!!
 
Wacha wee.....
 
Ni kweli mkuu hata mimi kuna mmoja kuna siku tulitoka nae lugoba mpaka manga nikanyosha mikono pamoja na six langu
 
Ha ha haaaaa kama nakuona mtu mzima unasemwa na huna jinsi ya kujibu sababu ukweli unabaki kuwa ukweli!!!!! Pole kaka RRONDO.........

The whole turbo action achilia BOV add ni suala linaloongeza sana mzuka wa kuchapa mashine

hio turbo ni balaa maanake with few second mtu anapotea vibaya sana....
 
Ni gari ndogo design yake ni nzuri na ina engine yenye nguvu sana ISIPOKUWA
Iko chini sana na kwa barabara zetu ambazo ni mbovu/matuta yasiyokuwa na mpangilio ndiyo setback pekee niionayo
 
mimi huwa 'najidai sitaki' mashindano...

Frank you......"najidai sitaki" tatizo hata kama umri umesonga kuna kale ka mentality ka "ananipimia huyu" kanainuka then age ndio inakuambia "acha hizoooo wewe umekua sasa"!!!!!
 
we subaru inapasua hadi raha cjaona chuma cha bei za kawaida kina performance kama ya subaru...ila kama una ela za shida usinunue
 
Gari ni nzuri kwakweli ila tu chamsingi ni wewe kuwa mzoefu wa kuendesha magari nasema hivi kwa sababu gari hili linakimbia mno na kwa watu watoro kazini ambao mala nyingi ungependa kila weekend uende mkoa jirani basi hii gari itakufaa sana
Lakini kama ndo mala yako ya kwanza kuanza kuendesha gari chondechonde nakushauri ndugu yangu tafuta gari nyingine hii inakusababishia matatizo!!
 
Ni kweli mkuu hata mimi kuna mmoja kuna siku tulitoka nae lugoba mpaka manga nikanyosha mikono pamoja na six langu

Mara wasimame wakojoe .......sijui wasimame wajinyooshe au kubadilishana seats halafu wanaombea site mbaaaali sana then anakakamua kasubaru asee anapita kama umesimama wakati say una 150KpH kama so dharau ni nini!!!????
 
Kama ulikuwepo 140 kph
 
Speaking of it hivi umewahi kusikia fundi wa hii makitu bongo!!!!????

yeah kuna jamaa mmoja alimsaidia mwanangu mmoja ana forester ilimsumbua sana turbo,jamaa alimrekebishia akampa na warranty ikiharibika amrudishie miezi 4 sasa jamaa anatesa tu leo tanga,kesho dodoma.
bahati mbaya sikuchukua address wala simu ya huyo fundi ila nikihitaji naweza kupata wakati wowote,ni fundi fulani maarufu wa subaru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…