Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

yeah kuna jamaa mmoja alimsaidia mwanangu mmoja ana forester ilimsumbua sana turbo,jamaa alimrekebishia akampa na warranty ikiharibika amrudishie miezi 4 sasa jamaa anatesa tu leo tanga,kesho dodoma.
bahati mbaya sikuchukua address wala simu ya huyo fundi ila nikihitaji naweza kupata wakati wowote,ni fundi fulani maarufu wa subaru


Hebu nichekie hiyo namba kaka kuna mashine naona ina leak ya oil kwa turbo though performance is still superb ila nahitaji ichekiwe sababu ni gari ya safari sasa ikija roga machakani huko itakuwa soo!!!!!

Kama hutajali ukiipata nitupie PM bob
 
Frank you......"najidai sitaki" tatizo hata kama umri umesonga kuna kale ka mentality ka "ananipimia huyu" kanainuka then age ndio inakuambia "acha hizoooo wewe umekua sasa"!!!!!

hio mentality mkuu ipo tu.....yaani unaona huyu ananiona mimi ---- eeeh! baadae unajishtukia unamuacha....nikiwa na abiria hapo naleta stori 'huyu atanimalizia wese[which is true but no the reason u dont wanna race] tu ila haniwezi wakati kiukweli unajua ukifuata hio wrx sijui sti utadhalilika!
 
Hebu nichekie hiyo namba kaka kuna mashine naona ina leak ya oil kwa turbo though performance is still superb ila nahitaji ichekiwe sababu ni gari ya safari sasa ikija roga machakani huko itakuwa soo!!!!!

Kama hutajali ukiipata nitupie PM bob

nitakuchekia leo leo nitakutumia
 
hio mentality mkuu ipo tu.....yaani unaona huyu ananiona mimi ---- eeeh! baadae unajishtukia unamuacha....nikiwa na abiria hapo naleta stori 'huyu atanimalizia wese[which is true but no the reason u dont wanna race] tu ila haniwezi wakati kiukweli unajua ukifuata hio wrx sijui sti utadhalilika!


Ha ha haaa kuna siku nilikuwa na wadogo zangu ........wakaniuliza bro huyu jamaa ana mashine gani asee wakati wanaiona ni forester!!!???? Ujumbe ukiwa hebu pima upepo hapo tuone!!!!!!

And i was like aaarhgh achana na shetani huyo!!!!!!
 
Hebu nichekie hiyo namba kaka kuna mashine naona ina leak ya oil kwa turbo though performance is still superb ila nahitaji ichekiwe sababu ni gari ya safari sasa ikija roga machakani huko itakuwa soo!!!!!

Kama hutajali ukiipata nitupie PM bob

Yaani sasa na,kusema demu wako anableed lakini unapiga hivo hivo unasikia utamu...oil inapanda kwenye turbo hiyo unauwa gari sasa,hivi..achw ubwege kaganye service wewe
 
Naipenda sana hii gari, muonekano wake tuu.
sina uzoefu na magari maana ndo hii ya kwanza nataka ninunue
mazingira yangu ni barabara vumbi na mashimo ya hapa na pale

naombeni mnipe uzuri wake
ubaya/matatizo yake pia ntafurahi kuyapata.

ila kiukweli naipenda kutoka moyoni.

na je, ninunue yard(mwanza) ama niagize nje?

NB: najua kuna uzi kadhaa zihusianazo, naomba nami mnipe mawazo yenu bila kuchoka.

asanteni

Nimetumia SUBARU FORESTER kuanzia 2007. Ya kwanza niliitumia bila major breakdown for six years.

Nikagongwa mbaya. Ikabidi ninunue Subaru myingine straight from Japan.

Hutojutia ukiwa na forester na haswa kama unakuwaga na safari za mikoani.

Mafundi wako Wengi hapa Dar. Arusha na Mwanza. Wenye kuuza spares watakupa contacts.

Nakushauri uagize Japan moja kw moj.
 
mutest na volkswagen gt version ya kuanzia 2005. mlete majibu hapa
 
hahaaa, ilikuwa mwaka gani hiyo? kweli watu mnaumizwa, wajanja kama wewe mkuu?!!! spare zipo kibao dar sku hizi, ukiona wanakuzingua unaagiza.

hii hapa laki350 mpaka mlangoni kwako
View attachment 149955

Ni kweli ndugu hii hapa HCR109 SUBARU FORESTER 2002. Dar nilitafuta sana sikupata.
 
Kawaida bei zake hadi Bongo ni sh ngapi kwa Forester,wrx na wrx sti?
 
Nakushauri utafute Mnyama BMW 3 series iko poa sana. Kuhusu performance, kwenye safari unampita huyo subaru kama kasimama.
Iko very comfortable.
Ina both automatic na manual(automanual), kwa hiyo utaamua leo unaendeshea automatic gear kesho unapiga manual kiroho safi.

BMW 3 series ni saloon car haifai kwa barabara aloisema atakua anaitumia(ya vumbi na mashimo) kama unataka perfomance go for impreza STI wrx then utanambia. Na unambie why WRC haifanyiki kwenye barabara ya lami?
 
Forester ni nzuri sana kwa rough road. Kuhusu spare usiwaze sana ziko nyingi except kwa zile gari za miaka ya karibuni ndo ishu kuzipata.
 
Ni kweli ndugu hii hapa HCR109 SUBARU FORESTER 2002. Dar nilitafuta sana sikupata.

Loh, aisee pole mkuu, dar zipo tatizo ni kujua wapi pa kutafuta tu! Watu wana roho ngumu, kukuumiza bila kukuangalia machoni?....!
 
Yaani sasa na,kusema demu wako anableed lakini unapiga hivo hivo unasikia utamu...oil inapanda kwenye turbo hiyo unauwa gari sasa,hivi..achw ubwege kaganye service wewe


Inakufaje gari kwa oil kupanda kwenye turbo?????
Inayopanda ni oil au mvuke !!!????
Unajua by pass ya kuweka breather for the same problem!!!????

Unaweza jikuta ----- ni wewe hapa!!!!!
I use turbo charged kuanzia tdi, 1kz mpaka 1hd na wanaodai kuwa mafundi ni wengi ila wanaoweza hiyo shughuli ni wachache so sio suala la kukurupuka kama unaenda kukojoa kichakani
 
km unahitaji fundi w subaru nitafute..
 
Loh, aisee pole mkuu, dar zipo tatizo ni kujua wapi pa kutafuta tu! Watu wana roho ngumu, kukuumiza bila kukuangalia machoni?....!

Asante. ndugu machungu yalishaisha na nlivoweka taa tu nkaiuza nafarijika na Passo saivi sioni tabu..
 
Back
Top Bottom