Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

Naipenda sana hii gari, muonekano wake tuu.
sina uzoefu na magari maana ndo hii ya kwanza nataka ninunue
mazingira yangu ni barabara vumbi na mashimo ya hapa na pale

naombeni mnipe uzuri wake
ubaya/matatizo yake pia ntafurahi kuyapata.

ila kiukweli naipenda kutoka moyoni.

na je, ninunue yard(mwanza) ama niagize nje?

NB: najua kuna uzi kadhaa zihusianazo, naomba nami mnipe mawazo yenu bila kuchoka.

asanteni

www.thecarconnection.com/cars/subaru_forester
 
Ww fuata hela yako inavyorusu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ndugu subaru forester sikushauri maana nimeitumia sana..spare zake ni ghali sana na upatikanaji ni shida pia..niligongwa na toyo taa ya mbele niliitafuta arusha sijapata saba general stores hata dar nliagiza sijapata mpaka nikaipata nairobi tena used kwa milioni 1 na laki 6...sikushauri ununue forester ndugu

Doh...! Acha kutisha watu, na kama unayosema ni kweli yalikukuta utakuwa umeumizwa.
 
Doh...! Acha kutisha watu, na kama unayosema ni kweli yalikukuta utakuwa umeumizwa.

sijatisha mtu ndugu bali nimeeleza yaliyonikuta..na ukweli ni kwamba spare za subaru zipo juu asikudanganye mtu..
 
I have an experience with this car bro, i know what i'm talking about.

so do u think others got no experience like or more than you???do you think you are the only one owning that car in this forum??
 
Thank you sooo much kaka RRONDO ile kitu ni powerful kuliko maelezo ya mdomo nikiwa drifting zone nikisikia sasa inakuja imprezza au evo huwa natoka mbali kabisa na ring!!!!!!!!! Sababu unaona kabisa hatari hii hapa inakuja hiyo BOV sio tu ni functional ila ni burudani sana kama inapata mtu mwenye mkono mwepesi kwenye stiki!!!!!!

Mkuu leo kwenye show off ya oryx rally yule babu miller alitoa manjonjo na hio bov. Kesho wanaenda kisarawe. Cc prondo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu leo kwenye show off ya oryx rally yule babu miller alitoa manjonjo na hio bov. Kesho wanaenda kisarawe. Cc prondo.

Umeisikia kaka MANI BoV inavyofungua? ??!!!!
Sasa hapo vilima vya pugu ndio wataipenda watakaoisikia!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu subaru forester sikushauri maana nimeitumia sana..spare zake ni ghali sana na upatikanaji ni shida pia..niligongwa na toyo taa ya mbele niliitafuta arusha sijapata saba general stores hata dar nliagiza sijapata mpaka nikaipata nairobi tena used kwa milioni 1 na laki 6...sikushauri ununue forester ndugu
Ulipigwa mzee
 
Back
Top Bottom