OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
yeah kuna jamaa mmoja alimsaidia mwanangu mmoja ana forester ilimsumbua sana turbo,jamaa alimrekebishia akampa na warranty ikiharibika amrudishie miezi 4 sasa jamaa anatesa tu leo tanga,kesho dodoma.
bahati mbaya sikuchukua address wala simu ya huyo fundi ila nikihitaji naweza kupata wakati wowote,ni fundi fulani maarufu wa subaru
Frank you......"najidai sitaki" tatizo hata kama umri umesonga kuna kale ka mentality ka "ananipimia huyu" kanainuka then age ndio inakuambia "acha hizoooo wewe umekua sasa"!!!!!
Hebu nichekie hiyo namba kaka kuna mashine naona ina leak ya oil kwa turbo though performance is still superb ila nahitaji ichekiwe sababu ni gari ya safari sasa ikija roga machakani huko itakuwa soo!!!!!
Kama hutajali ukiipata nitupie PM bob
hio mentality mkuu ipo tu.....yaani unaona huyu ananiona mimi ---- eeeh! baadae unajishtukia unamuacha....nikiwa na abiria hapo naleta stori 'huyu atanimalizia wese[which is true but no the reason u dont wanna race] tu ila haniwezi wakati kiukweli unajua ukifuata hio wrx sijui sti utadhalilika!
nitakuchekia leo leo nitakutumia
Pamoja sana kaka......naingia utumwani sasa!!!!
Gud day to you son
Kama ulikuwepo 140 kph
Vipi kuhusu balance/comfortability ukiwa kwenye izo 140kph
Hebu nichekie hiyo namba kaka kuna mashine naona ina leak ya oil kwa turbo though performance is still superb ila nahitaji ichekiwe sababu ni gari ya safari sasa ikija roga machakani huko itakuwa soo!!!!!
Kama hutajali ukiipata nitupie PM bob
Naipenda sana hii gari, muonekano wake tuu.
sina uzoefu na magari maana ndo hii ya kwanza nataka ninunue
mazingira yangu ni barabara vumbi na mashimo ya hapa na pale
naombeni mnipe uzuri wake
ubaya/matatizo yake pia ntafurahi kuyapata.
ila kiukweli naipenda kutoka moyoni.
na je, ninunue yard(mwanza) ama niagize nje?
NB: najua kuna uzi kadhaa zihusianazo, naomba nami mnipe mawazo yenu bila kuchoka.
asanteni
hahaaa, ilikuwa mwaka gani hiyo? kweli watu mnaumizwa, wajanja kama wewe mkuu?!!! spare zipo kibao dar sku hizi, ukiona wanakuzingua unaagiza.
hii hapa laki350 mpaka mlangoni kwako
View attachment 149955
mutest na volkswagen gt version ya kuanzia 2005. mlete majibu hapa
Nakushauri utafute Mnyama BMW 3 series iko poa sana. Kuhusu performance, kwenye safari unampita huyo subaru kama kasimama.
Iko very comfortable.
Ina both automatic na manual(automanual), kwa hiyo utaamua leo unaendeshea automatic gear kesho unapiga manual kiroho safi.
Ni kweli ndugu hii hapa HCR109 SUBARU FORESTER 2002. Dar nilitafuta sana sikupata.
Yaani sasa na,kusema demu wako anableed lakini unapiga hivo hivo unasikia utamu...oil inapanda kwenye turbo hiyo unauwa gari sasa,hivi..achw ubwege kaganye service wewe
Loh, aisee pole mkuu, dar zipo tatizo ni kujua wapi pa kutafuta tu! Watu wana roho ngumu, kukuumiza bila kukuangalia machoni?....!