Asante. ndugu machungu yalishaisha na nlivoweka taa tu nkaiuza nafarijika na Passo saivi sioni tabu..
Asante. ndugu machungu yalishaisha na nlivoweka taa tu nkaiuza nafarijika na Passo saivi sioni tabu..
Naipenda sana hii gari, muonekano wake tuu.
sina uzoefu na magari maana ndo hii ya kwanza nataka ninunue
mazingira yangu ni barabara vumbi na mashimo ya hapa na pale
naombeni mnipe uzuri wake
ubaya/matatizo yake pia ntafurahi kuyapata.
ila kiukweli naipenda kutoka moyoni.
na je, ninunue yard(mwanza) ama niagize nje?
NB: najua kuna uzi kadhaa zihusianazo, naomba nami mnipe mawazo yenu bila kuchoka.
asanteni
hii ni pamoja na huo ushauri wako sio?
Ndugu subaru forester sikushauri maana nimeitumia sana..spare zake ni ghali sana na upatikanaji ni shida pia..niligongwa na toyo taa ya mbele niliitafuta arusha sijapata saba general stores hata dar nliagiza sijapata mpaka nikaipata nairobi tena used kwa milioni 1 na laki 6...sikushauri ununue forester ndugu
Doh...! Acha kutisha watu, na kama unayosema ni kweli yalikukuta utakuwa umeumizwa.
I have an experience with this car bro, i know what i'm talking about.
Thank you sooo much kaka RRONDO ile kitu ni powerful kuliko maelezo ya mdomo nikiwa drifting zone nikisikia sasa inakuja imprezza au evo huwa natoka mbali kabisa na ring!!!!!!!!! Sababu unaona kabisa hatari hii hapa inakuja hiyo BOV sio tu ni functional ila ni burudani sana kama inapata mtu mwenye mkono mwepesi kwenye stiki!!!!!!
Kaka mpaka moto unatoka kwenye exhaust. Utaenda?
rally ishafanyika??
Leo wanaenda kisarawe na kurudi hapo tazara kesho msata na kurudi
muda gani wanaanza?
Sina hakika ila kwa muda huu watakuwa wameshaondoka labda jioni wakati wanarudi
Ulipigwa mzeeNdugu subaru forester sikushauri maana nimeitumia sana..spare zake ni ghali sana na upatikanaji ni shida pia..niligongwa na toyo taa ya mbele niliitafuta arusha sijapata saba general stores hata dar nliagiza sijapata mpaka nikaipata nairobi tena used kwa milioni 1 na laki 6...sikushauri ununue forester ndugu