JAKUGOTE
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 788
- 1,084
Zote ziko poa ila hapo umefanya comparison ya sedan na SUV vitu viwili vyenye ladha tofauti kabisaMwezi ujao nataka nihame kwenye Carina Ti na mimi niwe mtu mwenye gari kweli .
Subaru legacy 2015 na subaru forester 2013 hipi itakua nzuri zaidi bei zina tofautiana kwa 3 million