Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,486
Mimi ninayo Subaru forester XT ina mwaka mmoja sasa naendelea kuitumia na haina shida yeyote kwenye engine zaidi ya kubadilisha wheel bearing na bush Tu.Wakuu natumaini ni wazima wa afya.
Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015
Personal details
- Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
- Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
- Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return
Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake
2.Dos and Don't za hizi gari.
3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar
4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?
4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.
VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete
Hizi ni gari za safari ndefu Kwa hapa mjini huwa hatuzitendei hakiWakala wa Subaru Tanzania PureView zeiss
Asante sana mkuu, Kuna kitu kipya nimekipata hapa.Mimi ninayo Subaru forester XT ina mwaka mmoja sasa naendelea kuitumia na haina shida yeyote kwenye engine zaidi ya kubadilisha wheel bearing na bush Tu.
Kwa upande wa service Subaru zote zinafanana kwenye gharama kwasababu bei za oil na filter,air cleaner na vitu vingine vinalingana .
Subaru SH 5 XT ina horsepower 227
5 speed transmission
Option features za sport na sport sharp( hii sport sharp ina balaa kubwa Sana kwenye speed unaweza kuovertake magari hata manne Kwa wakati mmoja)
Subaru forester XT ya 2013-2016 zina horsepower 250 huku ikiwa na 6 speed transmission hii ni balaa zaidi Huko barabarani kama ni MTU wa safari utafurahia safari zako Sana kutokana na performance yake, ina features nyingi Sana kuanzia muziki, comfort, safety na legroom kubwa kuanzia dereva na abiria pia
Kama utachukua XT zingatia service Tu Kwa wakati pamoja oil original za Castrol oil na Atlantic oil View attachment 3473133
Hili embu tuwatag wataalamu wa kuagiza magari watusaidieUsiagize gari singapore, hii statement nilishaisikia kwa zaidi ya watu watano.
Hongera kwa hatua uliyofikia mkuu. Subaru zimetulia
Subaru yangu ni ya 2009 niliagiza Kupitia SBT Japan ( nimeona unataka kuagiza Kupitia Singapore huku achana nako kabisaa tena ogopa kama ukoma)Asante sana mkuu, Kuna kitu kipya nimekipata hapa
Naomba nisaidie na no 3 na no 4 kama hutojali.
Nashukuru sana mkuu,Subaru yangu ni ya 2009 niliagiza Kupitia SBT Japan ( nimeona unataka kuagiza Kupitia Singapore huku achana nako kabisaa tena ogopa kama ukoma)
Ishu kubwa ya magari ya turbocharger ni umakini wa service hapa nitakupa mwongozo kama ifuatavyo:
1) Tumia oil filter za Bosch
2) badilisha air filter kila mwaka huku ukiwa unasafisha Kwa njia ya presha kila mwezi
3) kila siku angalia kiwango cha coolant isipungue wala isizidi kwenye level yake
4) badilisha coolant kila mwaka
5) kila unawasha gari asubuhi hakikisha unaacha Kwa DK 3-4 Hadi mshale wa rpm ushuke kwenye 1 pia kama umefanya safari iwe fupi au ndefu iache gari Kwa DK 5-7 ili oil ishuke kabisaa ndani ya engine
6) Ili kuepesha wear and tear kwenye crankshaft bearings unahitaji kutumia oil Sahihi
Nakaribisha maswali kama haujaelewa
Vuta ki Passo mkuu. 2.5m kwa mwezi na subaru sjg turbo wapi na wapi. Maaba service tu ni 20m. Usije sema hatujakuonyaWakuu natumaini ni wazima wa afya.
Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015
Personal details
- Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
- Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
- Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return
Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake
2.Dos and Don't za hizi gari.
3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar
4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?
4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.
VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete
Mimi huwa sipigi kabisaa Kwa mwezi natumia Tsh ngapi kwasababu huwa nikiweka mafuta ya Tsh 40,000 jumatatu naongezea tena keahokutwa mafuta ya Tsh 10,000 Kwa safari zangu za kwenda kariakoo na kurudi home kwasababu sina mizungukoNashukuru sana mkuu,
La mwisho: Naomba nsaidie Roughly service budget (vitu vya kufanya on monthly basis, ikiwemo Kusafisha air filter), plus fuel (60 km/ day kwa 3 days a week) ili inisaidie ku-update kwenye monthly budget. Si lazima iwe accurate, ni estimate tu mkuu.
#Life is too short to drive boring car ~ Mr Confidential
Zingatia ushauri wa PureView zeiss
Oi umewahi jaribu na Puma uone. Me naonaga pia Total yanakaa zaidi kuliko Puma sasa sijui umasikini au?Mimi huwa sipigi kabisaa Kwa mwezi natumia Tsh ngapi kwasababu huwa nikiweka mafuta ya Tsh 40,000 jumatatu naongezea tena keahokutwa mafuta ya Tsh 10,000 Kwa safari zangu za kwenda kariakoo na kurudi home kwasababu sina mizunguko
Mafuta ya Tsh 60,000 huwa natumia Kwa siku 4 yaani kwenda mjini na kurudi ila kama kuna foleni Kwa Subaru forester inakula mafuta kwelikweli
Huwa nimiweka mafuta kituo cha total mafuta huwa yanaenda vizuri Sana tena Sana ...
Kama unatumia mineral oils hakuna yoyote inayokaa nyingi chenga sana. Tumia syntheticOi umewahi jaribu na Puma uone. Me naonaga pia Total yanakaa zaidi kuliko Puma sasa sijui umasikini au?
Ndugu yangu na njaa zetu hizi zinachangia kwasababu Mimi huwa naenda Sana total Ila wiki mbili zimepita nilenda puma nikaweka mafuta ya Tsh 40,000 nikifanya safari ya kwenda mwabepande na kurudi chamazi na mafuta hayakutoboa nikaona Bora niongeze tena ya Tsh 15,000 ili taa ya mafuta haijawaka( Subaru forester ikiwaka taa ya mafuta unaweza kulia machozi maana itakulazimu uweke mafuta ya Tsh 50 ndiyo taa ya mafuta inazima)Oi umewahi jaribu na Puma uone. Me naonaga pia Total yanakaa zaidi kuliko Puma sasa sijui umasikini au?
Nduguu mbona unawatisha Sana watu? Kumbuka maoni ambayo tunatoa Kwa wengine yanasaidia Sana Kwa wasomaji tofautitofauti.Vuta ki Passo mkuu. 2.5m kwa mwezi na subaru sjg turbo wapi na wapi. Maaba service tu ni 20m. Usije sema hatujakuonya
Kantri hii taarifa umeitoa wapi? Labda mate wangu LamomyKama ndio gari yako ya kwanza kumiliki basi achana kabisa na Subaru.
Ngoja niwatag hawa wadada humu wanaomiliki gari hiyo
Lamomy binti kiziwi
Niliona uliiweka hiyo chuma aisee😅