Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

Kama ndio gari yako ya kwanza kumiliki basi achana kabisa na Subaru.
Ngoja niwatag hawa wadada humu wanaomiliki gari hiyo
Lamomy binti kiziwi
Acha kutisha watu, mkuu chukua gari lako sisi wabongo ukitusikiliza sana vitu vizuri utaviskia tu kwa wenzio.

Hata wakati iPhone zinatoka watu walitishwa sana kama hivi, na wengine mpaka leo bado wana nadharia hizi.

Gari utaijua tu by time, usitishwe na sisi na story zetu. Binafsi nilitishwa hivi hivi huu mwaka wa 4 naruka na subaru yangu (ndio gari ya kwanza kumiliki) bila shida wala tatizo ningewasikiliza wabongo pengine ningekuwa na ka passo sasa hivi
 
Nilichosema sipunguzi Wala kuongeza. Naamini kanielewa
 
Wakuu natumaini ni wazima wa afya.

Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015

Personal details
  • Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
  • Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
  • Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return

Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake

2.Dos and Don't za hizi gari.

3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar

4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?

4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.

VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete
Nimesoma hadi mwisho ila sikuona jibu la namba tatu!
 
Subaru Forester zote ulizozitaja hapo ni gari nzuri na ni rafiki kwa matumizi ya mazingira yetu

Kuhusu service hazina gharama ya wewe kushindwa kuifanyia

Ulaji wa mafuta kwa kipato chako unaweza kabisa mana zinakula kawaida

CHangamoto za kiufundi
Kuna changamoto za oil, mafundi waengi wanajichanganya kwenye oil, wanaweka oil ambayo sio na ukiweka oil sio hiyo engine imeenda na maji

Kumbuna SJG inatumia engine ya FA20 na bei yake ukipata bei rahisi ni 8m, na SJ inatumia engine ya FB20 na hii si chini ya 5m

Kama auna mambo mengi chukua zako sj inakutosha
 
Wakuu natumaini ni wazima wa afya.

Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015

Personal details
  • Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
  • Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
  • Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return

Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake

2.Dos and Don't za hizi gari.

3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar

4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?

4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.

VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete

View attachment 3472906

View attachment 3472907

View attachment 3472908
Nashauri tu, kuagiza gari Singapore au Dubai ni sawa na Kubeti mdau
 
Kama una mtu Singapole wa kumuamin na mwenye uelewa wa magarii anaweza kukusaidia kuyakqgua kabla ya kulipia.

Kama huna, mtu Singapore nakushauri hachana na magari ya Singapore ni kama unacheza UPATU!
 
Asante sana kwa hui ushauri
 
Ndugu yangu na njaa zetu hizi zinachangia kwasababu Mimi huwa naenda Sana total Ila wiki mbili zimepita nilenda puma nikaweka mafuta ya Tsh 40,000 nikifanya safari ya kwenda mwabepande na kurudi chamazi na mafuta hayakutoboa nikaona Bora niongeze tena ya Tsh 15,000 ili taa ya mafuta haijawaka( Subaru forester ikiwaka taa ya mafuta unaweza kulia machozi maana itakulazimu uweke mafuta ya Tsh 50 ndiyo taa ya mafuta inazima)
Kwangu naona total ndiyo angalau yanakaa kidogo kwenye tank
Mkuu kwa maelezo hayo nahisi Miss TZ ina unafuu kwenye matumizi ya mafuta.
 
Back
Top Bottom