Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

Mimi ninayo Subaru forester XT ina mwaka mmoja sasa naendelea kuitumia na haina shida yeyote kwenye engine zaidi ya kubadilisha wheel bearing na bush Tu.
Kwa upande wa service Subaru zote zinafanana kwenye gharama kwasababu bei za oil na filter,air cleaner na vitu vingine vinalingana .

Subaru SH 5 XT ina horsepower 227
5 speed transmission
Option features za sport na sport sharp( hii sport sharp ina balaa kubwa Sana kwenye speed unaweza kuovertake magari hata manne Kwa wakati mmoja)

Subaru forester XT ya 2013-2016 zina horsepower 250 huku ikiwa na 6 speed transmission hii ni balaa zaidi Huko barabarani kama ni MTU wa safari utafurahia safari zako Sana kutokana na performance yake, ina features nyingi Sana kuanzia muziki, comfort, safety na legroom kubwa kuanzia dereva na abiria pia

Kama utachukua XT zingatia service Tu Kwa wakati pamoja oil original za Castrol oil na Atlantic oil View attachment 3473133
Subaru Forester Sh5 XT ina gia 4 Automatic hii SJG XT inatumia CVT....
 
Mkuu sijawahi kuendesha subaru.
Kwa hizi SUV za kundi lake za kutoka Japan (Vanguard, Harrier, Rav 4, Kruger, Escudo) nadhani Forester ni nzuri zaidi kwa vigezo vingi hususan hizi latest editions. Iko comfortable, muonekano mzuri ndani, very stable hata ukiwa 160-170, good displacement. Pata Subaru SKE 2020s utafurahia mkuu na hautatamani kuhama huko.
 
Back
Top Bottom