binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Dah watu mna macho!!!!!! Na unapita kimya kimya kama unaaga maiti! 😂👊🏻Niliona uliiweka hiyo chuma aisee😅
Kusukuma hiyo chuma si mchezo upo vizuri
Lamomy ana ya mwaka wa nyuma ya 2010, si Kama hiyo yako
Nilichelewa kuona nikaja kuchungulia alipoquote lamomy😅Dah watu mna macho!!!!!! Na unapita kimya kimya kama unaaga maiti! 😂👊🏻
Weka location mate. 😅😹😹😹 Team Subaru, uran ile trip yetu na huyu mate wangu awepo tuwafanyie fujo trafic..!!
Aaaah we jamaa!Vuta ki Passo mkuu. 2.5m kwa mwezi na subaru sjg turbo wapi na wapi. Maaba service tu ni 20m. Usije sema hatujakuonya
Acha kutisha watu, mkuu chukua gari lako sisi wabongo ukitusikiliza sana vitu vizuri utaviskia tu kwa wenzio.Kama ndio gari yako ya kwanza kumiliki basi achana kabisa na Subaru.
Ngoja niwatag hawa wadada humu wanaomiliki gari hiyo
Lamomy binti kiziwi
Nilichosema sipunguzi Wala kuongeza. Naamini kanielewaAcha kutisha watu, mkuu chukua gari lako sisi wabongo ukitusikiliza sana vitu vizuri utaviskia tu kwa wenzio.
Hata wakati iPhone zinatoka watu walitishwa sana kama hivi, na wengine mpaka leo bado wana nadharia hizi.
Gari utaijua tu by time, usitishwe na sisi na story zetu. Binafsi nilitishwa hivi hivi huu mwaka wa 4 naruka na subaru yangu (ndio gari ya kwanza kumiliki) bila shida wala tatizo ningewasikiliza wabongo pengine ningekuwa na ka passo sasa hivi
Hata mimi sipunguzi wala kuongeza, na narudia kumwambia nunua gari ya ndoto yako usitusikilize wabongo. Miyeyusho sana sisi, naamini kanielewa piaNilichosema sipunguzi Wala kuongeza. Naamini kanielewa
Nimesoma hadi mwisho ila sikuona jibu la namba tatu!Wakuu natumaini ni wazima wa afya.
Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015
Personal details
- Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
- Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
- Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return
Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake
2.Dos and Don't za hizi gari.
3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar
4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?
4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.
VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete
Nashauri tu, kuagiza gari Singapore au Dubai ni sawa na Kubeti mdauWakuu natumaini ni wazima wa afya.
Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015
Personal details
- Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
- Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
- Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return
Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake
2.Dos and Don't za hizi gari.
3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar
4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?
4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.
VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete
View attachment 3472906
View attachment 3472907
View attachment 3472908
Unaona mambo yako sasa Uran mbona hujanishtua niunge tela 😥Mambo vipi?
Niko Manyara best, nitaenda kulala Kondoa
Kama una mtu Singapole wa kumuamin na mwenye uelewa wa magarii anaweza kukusaidia kuyakqgua kabla ya kulipia.Wakuu natumaini ni wazima wa afya.
Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015
Personal details
- Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
- Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
- Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return
Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake
2.Dos and Don't za hizi gari.
3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar
4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?
4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.
VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete
View attachment 3472906
View attachment 3472907
View attachment 3472908
Asante sana kwa hui ushauriKama una mtu Singapole wa kumuamin na mwenye uelewa wa magarii anaweza kukusaidia kuyakqgua kabla ya kulipia.
Kama huna, mtu Singapore nakushauri hachana na magari ya Singapore ni kama unacheza UPATU!
urongo sanaKipato chako ni kidogo usinunue gari jipange kwanza angalau uwe na 5m per month
Mkuu kwa maelezo hayo nahisi Miss TZ ina unafuu kwenye matumizi ya mafuta.Ndugu yangu na njaa zetu hizi zinachangia kwasababu Mimi huwa naenda Sana total Ila wiki mbili zimepita nilenda puma nikaweka mafuta ya Tsh 40,000 nikifanya safari ya kwenda mwabepande na kurudi chamazi na mafuta hayakutoboa nikaona Bora niongeze tena ya Tsh 15,000 ili taa ya mafuta haijawaka( Subaru forester ikiwaka taa ya mafuta unaweza kulia machozi maana itakulazimu uweke mafuta ya Tsh 50 ndiyo taa ya mafuta inazima)
Kwangu naona total ndiyo angalau yanakaa kidogo kwenye tank