Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Subaru SJ5 hasa za kuanzia 2015-2018, max speed 180 ni nzuri sana kwenye matumizi ya mafuta. Inaenda km 12-15 per lita ikitegemea namna unavyokanyaga mafuta. Yote kwa yote, ni very comfortable SUV ambayo hautajutia kuwa nayo.Mkuu kwa maelezo hayo nahisi Miss TZ ina unafuu kwenye matumizi ya mafuta.
Mkuu sijawahi kuendesha subaru.Subaru SJ5 hasa za kuanzia 2015-2017, max speed 180 ni nzuri sana kwenye matumizi ya mafuta. Inaenda km 12-15 per lita ikitegemea namna unavyokanyaga mafuta. Yote kwa yote, ni very comfortable SUV ambayo hautajutia kuwa nayo.
Subaru Forester Sh5 XT ina gia 4 Automatic hii SJG XT inatumia CVT....Mimi ninayo Subaru forester XT ina mwaka mmoja sasa naendelea kuitumia na haina shida yeyote kwenye engine zaidi ya kubadilisha wheel bearing na bush Tu.
Kwa upande wa service Subaru zote zinafanana kwenye gharama kwasababu bei za oil na filter,air cleaner na vitu vingine vinalingana .
Subaru SH 5 XT ina horsepower 227
5 speed transmission
Option features za sport na sport sharp( hii sport sharp ina balaa kubwa Sana kwenye speed unaweza kuovertake magari hata manne Kwa wakati mmoja)
Subaru forester XT ya 2013-2016 zina horsepower 250 huku ikiwa na 6 speed transmission hii ni balaa zaidi Huko barabarani kama ni MTU wa safari utafurahia safari zako Sana kutokana na performance yake, ina features nyingi Sana kuanzia muziki, comfort, safety na legroom kubwa kuanzia dereva na abiria pia
Kama utachukua XT zingatia service Tu Kwa wakati pamoja oil original za Castrol oil na Atlantic oil View attachment 3473133
SJG ni very smooth pia ni six speed transmission hii ina balaa zaidi kuliko SH 5 XTSubaru Forester Sh5 XT ina gia 4 Automatic hii SJG XT inatumia CVT....
Kwa hizi SUV za kundi lake za kutoka Japan (Vanguard, Harrier, Rav 4, Kruger, Escudo) nadhani Forester ni nzuri zaidi kwa vigezo vingi hususan hizi latest editions. Iko comfortable, muonekano mzuri ndani, very stable hata ukiwa 160-170, good displacement. Pata Subaru SKE 2020s utafurahia mkuu na hautatamani kuhama huko.Mkuu sijawahi kuendesha subaru.