Subaru Forester

Subaru Forester

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,952
Reaction score
1,181
Subaru Forester:Toa Maoni yoyote kuhusu hili gari..naona yanazid kuwa mengi mtaani hata huku mikoani
 
Sasa hivi watanzania wamebadilika sio mda tutakuwa tunanunua gari pasipo kuangalia hii toyota au bmm au subaru
 
IMG_20180909_120205_207.jpg
 
Subaru Forester:Toa Maoni yoyote kuhusu hili gari..naona yanazid kuwa mengi mtaani hata huku mikoani

Azima, then tembea nalo 400km,.....utaleta majibu mwenyewe hapa jamvini.
 
Sasa hivi watanzania wamebadilika sio mda tutakuwa tunanunua gari pasipo kuangalia hii toyota au bmm au subaru
Magar yanapozid kuwa mengi ndivyo upatikanaji wa vipuri unaongozeka magari ya Ujeruman kama Vw au Audi yanauzwa bei ya kawaida ila watu wanaogopa vipuri pia na mafund wanakuwa washapata uzoefu..
 
Ningependa kujua ulaji wa mafuta kwa hii subaru forester, 1LT inatembea wastani wa Km ngapi?
 
Kama haina turbo ni around 8 to 11, kwa MT ( inategemea na mguu wako ) kama AT ni around 8 to 10

high way 12 to 15

kwa kifupi Subaru kwenye mafuta ni kama gari yoyote yenye CC2000, hasa ambayo haina turbo, watu wanaziogopa kutokana na historia, tulizoea kuyaona kwenye mashindano ya magar ambazo tayar zishafanyiwa tuning bas tunaziogopa ila ni gari imara ngumu na nzuri sana
 
Sawa mkuu
 
8 to 10 labda kama hakuna jam
 
Back
Top Bottom