NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
Subaru Forester:Toa Maoni yoyote kuhusu hili gari..naona yanazid kuwa mengi mtaani hata huku mikoani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subaru Forester:Toa Maoni yoyote kuhusu hili gari..naona yanazid kuwa mengi mtaani hata huku mikoani
hebu mwaga nondo mkuu ili na wengine tusishobokee kutokana na wingi wa hizo gari mtaaniAzima, then tembea nalo 400km,.....utaleta majibu mwenyewe hapa jamvini.
Hii nzuri imeinuka juu, nadhan ni toleo kuanzia 2008
Magar yanapozid kuwa mengi ndivyo upatikanaji wa vipuri unaongozeka magari ya Ujeruman kama Vw au Audi yanauzwa bei ya kawaida ila watu wanaogopa vipuri pia na mafund wanakuwa washapata uzoefu..Sasa hivi watanzania wamebadilika sio mda tutakuwa tunanunua gari pasipo kuangalia hii toyota au bmm au subaru
Sahihi kabisa mwananguHii nzuri imeinuka juu, nadhan ni toleo kuanzia 2008
Ningependa kujua ulaji wa mafuta kwa hii subaru forester, 1LT inatembea wastani wa Km ngapi?
Sawa mkuuKama haina turbo ni around 8 to 11, kwa MT ( inategemea na mguu wako ) kama AT ni around 8 to 10
high way 12 to 15
kwa kifupi Subaru kwenye mafuta ni kama gari yoyote yenye CC2000, hasa ambayo haina turbo, watu wanaziogopa kutokana na historia, tulizoea kuyaona kwenye mashindano ya magar ambazo tayar zishafanyiwa tuning bas tunaziogopa ila ni gari imara ngumu na nzuri sana
8 to 10 labda kama hakuna jamKama haina turbo ni around 8 to 11, kwa MT ( inategemea na mguu wako ) kama AT ni around 8 to 10