Subaru Impreza Hatchback ni Chaguzi Sahihi??

Oil gani hio ya 150,000 inayokupa 20,000KM
 
What about BMW 5 Series? Benz C/S series?
Hahahaa nimgeshangaa usingesema achukue Mjerumani. Imprezza Hatchback nadhani Mshauri achukue 1 series 116i kama ana stress za Mafuta. Inanusa tu.
 
Oil gani hio ya 150,000 inayokupa 20,000KM


tembelea pale Puma iliyopo kona ya fire au kwa wale jamaa wanaojiita wambi oil utazikita oil za magari zinazokupa 12km to 20km, na ni expensive kuna zinazopatiokana kwenye lita moja moja na kuna zinazopatikana kwenye ujazo wa lita 4. ila ni car manufactuere recommended oil , na almost karibu zote ni catrol product

ngoja nikafukue makabrasha yangu nikikutana na ile aina nitawaambien humu, sema siku hiz nimeanza kuloweka so nimeshusha quality. kidogo
 
WEWE UNA CHUKI DHIDI YA MAFANIKIO YA MTOA MADA WEWE!!!
 
Nakapenda sana haka kagari, sema mbeleni katakua yeboyebo maana kamenunuliwa sana...
Chief ni kwwli kabisa, ndani ya Miezi hii Mitatu/Minne haka haka kagari watu wanakanunua yaani ndio kama mbadala Fulani wa IST. I guess muda si muda katapanda chart kama si kupanda bei
 
Ukweli hata mimi subaru huwa hainivutii kabisa
Binafsi ile forester old model hainivutii kabisa. Kila nikiiona najiuliza watu wanapendea nini Subaru, ila hizi Impreza Hatchbacks aaah they are my favourite kwa sasa.
 
Utatumia sh.ngapi hadi.kuitoa bandalini?
Kila kitu Jumla mpaka barabarani Max 11Mil. Nimeagiza mwenyewe na mm mwenyewe ni Agent, hivyo nimesave kiasi. Ukienda kwa hawa waagizaji atakupanga kwa 12.5Mil mpaka 13Mil
 
Hahahaa nimgeshangaa usingesema achukue Mjerumani. Imprezza Hatchback nadhani Mshauri achukue 1 series 116i kama ana stress za Mafuta. Inanusa tu.
Hzo gari zimeingia kasi sana siku hizi, tatizo ni fupi sana na imekaa kiluxury zaidi. Huku kwangu mabonde kuinama haitonifaa mkuu
 
Subaru ipi sasa umbo lake hakikuvutii!!?

Imprezza
Legacy
Forester
 
Gari ni Kama mwanamke...
Umbo la mwanamke linalonivutia Mimi siyo lazima likuvutie wewe...
Na mwisho wa siku Kuna kipendacho roho
 
Hahahaa nimgeshangaa usingesema achukue Mjerumani. Imprezza Hatchback nadhani Mshauri achukue 1 series 116i kama ana stress za Mafuta. Inanusa tu.
Mjerumani ana vyuma fresh tu tena kwa bei reasonable.

Sijawahi ielewa hii Subaru, ningekuwa mimi ningechukua VW Golf/Polo, Audi A4.
 
Ushamba ni tatizo kubwa sana!
 
Yani Legacy hainivutii hata kidogo sometime huwa naiona kama Tax(Carina,Corolla and several related Cars)
Kitu Subaru Forester 2008 Model 2000cc ni hatar tupu(SUV)
Harier akasome kwa body Structure
Hapo kwa forester 2008 kongole mkuu
 
Kwann kunafananishwa impreza racing car na ki IST
 
Mkuu niliamua kufunga macho nasubiri Mchuma ufike kwa sasa. Nadhani mwezi wa sita katikati itakuwa imeshafika. Can't wait the experience
Mkuu habar, naamin subaru ishafika na umeanza kuitumia vp ipoje kwenye swala la consuption
 
Mkuu habar, naamin subaru ishafika na umeanza kuitumia vp ipoje kwenye swala la consuption
kawaida sana nionavyo mimi. Yangu ni Cc 1490 TU hatupishani sana na IST. Kwa foleni za jiji napata somewhere btwn 12-13KM per litre. Mafuta ya 15000 nasukuma 80KM na hapo sipo highway. stability ni nzuri sana, gari imetulia barabarani plus the speed. i truly love he car, service kwa wakati ni muhimu sana. Changamoto spares ziko juu kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…