Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oil gani hio ya 150,000 inayokupa 20,000KMKaka najua ushapata ushauri mkubwa kutoka kwa watu ila nachokwambia ni kuwa kama unataka gar ya alinunua babu had mjukuu anatumia chukua subaru regardless kama ni impreza ama legacy ama forester as long as ni non turbo hutajuta
Mi nina legacy ya 2002 yenye cc 2.0 napata 10km/l trip towns highway 13 to 14
Huu ni mwaka wangu wa sita and i have abused this car only God knows how, maana ndo hakahaka
Njia zote nimekapitisha na it had never fails
Me
Kuhusu spare yah zina bei ila ukifunga unasahau hata iwe used. Mi mwenye natembelea used spare na nimebadili shockup once nilipoingiza otherwise ni mabush ambayo nabadili at least once a year au year and a half
Mafuta asikudanganye mtu mimi yangu inakula
Mafuta kama gar yoyote ile ambayo ni non turbo yenye cc 2000 iwe toyota carina ama IST
Kuhusu kuunguza gasket mi nina mwaka wa sita na nina km 165000 sijabadili
Chochote kwenye engine na gar imeingia ikiwa na 100k
Kikubwa matunzo naweka recomended Oil ambayo ni around 150k bei ila
Inakupa 20km mi naibadilisha nikifika 10km oil
Inatoka bado mupya
By the way yangu ni manual
Nina thread humu imezungumzia
Subaru na bei za spare itafute
Hahahaa nimgeshangaa usingesema achukue Mjerumani. Imprezza Hatchback nadhani Mshauri achukue 1 series 116i kama ana stress za Mafuta. Inanusa tu.What about BMW 5 Series? Benz C/S series?
Oil gani hio ya 150,000 inayokupa 20,000KM
Kwa nini usichukue mistubishi Minica? inakufaa sana hii.
WEWE UNA CHUKI DHIDI YA MAFANIKIO YA MTOA MADA WEWE!!!He he he he he he! Wabongo tunafurahisha sana.
Kwani ungeanzia tu kuulizia kuhusu Subaru kulikuwa na tatizo?!!! Sasa umeanza kuelezea story za maisha binafsi, mara kujenga. Hivyo vingine ni non of our business.
Binafsi umbo la subaru huwa halinivutii!
Chief ni kwwli kabisa, ndani ya Miezi hii Mitatu/Minne haka haka kagari watu wanakanunua yaani ndio kama mbadala Fulani wa IST. I guess muda si muda katapanda chart kama si kupanda beiNakapenda sana haka kagari, sema mbeleni katakua yeboyebo maana kamenunuliwa sana...
Hzo gari zimeingia kasi sana siku hizi, tatizo ni fupi sana na imekaa kiluxury zaidi. Huku kwangu mabonde kuinama haitonifaa mkuuHahahaa nimgeshangaa usingesema achukue Mjerumani. Imprezza Hatchback nadhani Mshauri achukue 1 series 116i kama ana stress za Mafuta. Inanusa tu.
He he he he he he! Wabongo tunafurahisha sana.
Kwani ungeanzia tu kuulizia kuhusu Subaru kulikuwa na tatizo?!!! Sasa umeanza kuelezea story za maisha binafsi, mara kujenga. Hivyo vingine ni non of our business.
Binafsi umbo la subaru huwa halinivutii!
Gari ni Kama mwanamke...He he he he he he! Wabongo tunafurahisha sana.
Kwani ungeanzia tu kuulizia kuhusu Subaru kulikuwa na tatizo?!!! Sasa umeanza kuelezea story za maisha binafsi, mara kujenga. Hivyo vingine ni non of our business.
Binafsi umbo la subaru huwa halinivutii!
Mjerumani ana vyuma fresh tu tena kwa bei reasonable.Hahahaa nimgeshangaa usingesema achukue Mjerumani. Imprezza Hatchback nadhani Mshauri achukue 1 series 116i kama ana stress za Mafuta. Inanusa tu.
Ushamba ni tatizo kubwa sana!He he he he he he! Wabongo tunafurahisha sana.
Kwani ungeanzia tu kuulizia kuhusu Subaru kulikuwa na tatizo?!!! Sasa umeanza kuelezea story za maisha binafsi, mara kujenga. Hivyo vingine ni non of our business.
Binafsi umbo la subaru huwa halinivutii!
Yani Legacy hainivutii hata kidogo sometime huwa naiona kama Tax(Carina,Corolla and several related Cars)Subaru ipi sasa umbo lake hakikuvutii!!?
Imprezza
Legacy
Forester
Hapo kwa forester 2008 kongole mkuuYani Legacy hainivutii hata kidogo sometime huwa naiona kama Tax(Carina,Corolla and several related Cars)
Kitu Subaru Forester 2008 Model 2000cc ni hatar tupu(SUV)
Harier akasome kwa body Structure
Mkuu habar, naamin subaru ishafika na umeanza kuitumia vp ipoje kwenye swala la consuptionMkuu niliamua kufunga macho nasubiri Mchuma ufike kwa sasa. Nadhani mwezi wa sita katikati itakuwa imeshafika. Can't wait the experience
kawaida sana nionavyo mimi. Yangu ni Cc 1490 TU hatupishani sana na IST. Kwa foleni za jiji napata somewhere btwn 12-13KM per litre. Mafuta ya 15000 nasukuma 80KM na hapo sipo highway. stability ni nzuri sana, gari imetulia barabarani plus the speed. i truly love he car, service kwa wakati ni muhimu sana. Changamoto spares ziko juu kiasiMkuu habar, naamin subaru ishafika na umeanza kuitumia vp ipoje kwenye swala la consuption