Subaru Impreza Hatchback ni Chaguzi Sahihi??

Ahsante mkuu kwa kunipa mwanga ya kwako imetembea km ngapi uliponunua
 
Hizi subaru zimenunuliwa sana mwaka huu aisee.... sijui ndo mbadala wa IST ili tusipewe tuhuma za kuhongwa...??

Anyway, the car is sexy..
 
Subaru ni gari nzuri sana, nakushauri uchukuee Subaru forester ni 4wheel drive,
Cc2000 inakula mafuta

Spares zake ni gharama tu Kama zilivyo spares za Audi na BMW

kama unawaza sana mafuta nakushauli nunua Toyota Runx cc 1450, Nimetuma Hii gari ni nzuri miaka 5, nilinunua kwa mtu nika kaaa nayo miaka 2 nigauza.. Niknunu mpya.

Ni gari economic kwenye mafuta, ina speed, Tafuta ya mwaka 2006. Utafurahi sana.

NB

SPARE ZOTE ORIGINAL NI GHARAMA SANA HAIJALISHI BRANDI YA GARI

SEMA TU, SOKO LA SPARES LA TOYOTA LIMEINGILIAWA NA SPARES FEKI KUTOKANA NA WATUMIAJI WENGI WA TOYOTA NI WATU KIPATO CHA CHINI

ILA BRANDS KAMA SUBARU, BMW, AUDI SPARES ZAKE NI OG, NI NGUMU KUPATA FEKI SPARES KWA SABABU SOKO LAKE KWA. AFRICA SIO KUBWA SANA NDIO MAANA YANAPENDELEWA SANA NA WATU WENYE UWEZO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spea OG Ni mkataba
 
Sasa kipato Cha Watanzania si unakijua?. Kijana kamaliza SUA huko kasota mtaani miaka 4 kaajiriwa benki pendwa tawi la Tandahimba hukooo mshahara 400,000 unataka amiliki nn Kama si mi-TOYOTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…