Subaru ni gari nzuri sana, nakushauri uchukuee Subaru forester ni 4wheel drive,
Cc2000 inakula mafuta
Spares zake ni gharama tu Kama zilivyo spares za Audi na BMW
kama unawaza sana mafuta nakushauli nunua Toyota Runx cc 1450, Nimetuma Hii gari ni nzuri miaka 5, nilinunua kwa mtu nika kaaa nayo miaka 2 nigauza.. Niknunu mpya.
Ni gari economic kwenye mafuta, ina speed, Tafuta ya mwaka 2006. Utafurahi sana.
NB
SPARE ZOTE ORIGINAL NI GHARAMA SANA HAIJALISHI BRANDI YA GARI
SEMA TU, SOKO LA SPARES LA TOYOTA LIMEINGILIAWA NA SPARES FEKI KUTOKANA NA WATUMIAJI WENGI WA TOYOTA NI WATU KIPATO CHA CHINI
ILA BRANDS KAMA SUBARU, BMW, AUDI SPARES ZAKE NI OG, NI NGUMU KUPATA FEKI SPARES KWA SABABU SOKO LAKE KWA. AFRICA SIO KUBWA SANA NDIO MAANA YANAPENDELEWA SANA NA WATU WENYE UWEZO.
Sent using
Jamii Forums mobile app