Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
ebu funguka kidogo kwenye hiyo nissan GT mkuuumesahau nissan GT hao wote cha mtoto
Gt tatizo bei...umesahau nissan GT hao wote cha mtoto
hapana tunataka kujua mani jana nlisikia watu wakibishana kati ya hizi gari ipi ni moto wa kuotea mbali, ila umeeleza vizuri sana mkuuFunguka vizuri, unataka kwa ajili ya mashindano au unataka kwa ajili ya mbio Tz? Kukusaidia tu, gari hizo zoote zina mbio ila Subaru tofauti yake ni utulivu barabarani. Watengenezaji wake wamekuwa na maono zaidi kwa gari zao. Zikimbie lakini zitulie barabarani. Unashangaa uliweka mguu juu juu tu, ghafla uko 140 halafu ka umefunga vioo wala hujui/hujielewi. Kona kali unaikunja ukiwa 140 bila hata mtikisiko wowote. Ukiendesha Subaru haswa kwenye long distance, weka mafungu ya 30thou mengi tu kwa sababu ya tochi zao za mwendo kasi.
mkuu itakuwa poa sana kama utazitoshautisha ili tujue tofauti kiongozWrx na sti ni gari mbili tofauti
ila kwenye rally za kibongo sizioni. tuna subaru na mitsubishimazda R8 ni soo aisee
daaah hii mashine inaonekana ni nomaNISSAN GTR Bongo iko moja
Noma sana walahi acha kaka nomaaa sanadaaah hii mashine inaonekana ni noma
Haha Magar kama hayo ndo yanatakiwa yatembeee aiseee na kipande cha Igunga to Singida na Singida to Dodoma achaaaRange Rover Sport supercharger ni kiboko, nilikimbia from Igunga to Dar airport kwa masaa9 tuu manina.
Mkuu we acha tu, ile kitu inatembea si mchezo, kuna kipande kutoka maeneo ya Iramba kama sikosei to Singida kama km 80 hivi nilikuta kina vumbi basi nikalegeza bedeli kidogo boss akasema acha kukuna nazi, nyoosha goti we msengeremanikajisemea kimoyomoyo kwamba kumbe hunijui mie mtoto wa kihuni, basi nikaipa mamaaaaaaaa, tunafika Chalinze saa 4 asbh anasema wewe kiboko....Haha Magar kama hayo ndo yanatakiwa yatembeee aiseee na kipande cha Igunga to Singida na Singida to Dodoma achaaa