Subaru Impreza wrx, Sti vs Mitsubishi Evo

Subaru Impreza wrx, Sti vs Mitsubishi Evo

OK back to the Topic iko hiv Subaru ziko nyingi kutoakana na upatikanaji wake na Pia zimezoleka sana kuliko Mitsubishi Evo but Evo ndo mbishi wa wote yani hivoo
I'm Subaru fan! I own Subaru lakini Evo ni vile hazikuwa common!! Nimeziona kwenye rally za kibongo Evo zinafanya vizuri
 
Subaru ipi kuna GC8, N12, N14, GDB, na Mitsubishi ipi kuna kuanzia Evo 1 mpaka 10 sasa sijui unashindanishaje na pia je ni stock cars(gari kutoka kiwandani ambayo haijachezewa) au moded cars (ambazo zimeongezewa uwezo binafsi)
mkuu ni hizi wanazocheza nazo kwenye rally
 
I'm Subaru fan! I own Subaru lakini Evo ni vile hazikuwa common!! Nimeziona kwenye rally za kibongo Evo zinafanya vizuri
kuna rally imeisha leo kama sikosei, ilikuwa bagamoyo nasikia zimemaliza gar 12 kati ya gar 20na kitu
 
Uki compare hizi kitaalam nadhani wanaangalia zaidi from 0 to 60 mph inatumia muda ganina ndo kigezo kikubwa mengine naona yanategemea pia dreva yukoje.Kipimo kingine kama perfomance katika WRC nadhani wote hawajaingiza gari muda na sina hakika kama Evos zishawahi shinda lkn Scoobies najua mara mbili chini ya Colin McRae na Richard Burns waliwahi shinda miaka ya nyuma
 
1468348895044.jpg
hizi za kwenye rally mostly inategemeana na drivers ila pia kwa maoni yangu mimi MITSUBISHI ni gari nzuri sana offroad na huko ndipo rally nyingi zinapofanyika
Mfano mzuri ni hii picha rally ilifanyika bagamoyo weekend hii na top 3 winners wote wanaendesha MITSUBISHI EVOLUTION
 
View attachment 365672 hizi za kwenye rally mostly inategemeana na drivers ila pia kwa maoni yangu mimi MITSUBISHI ni gari nzuri sana offroad na huko ndipo rally nyingi zinapofanyika
Mfano mzuri ni hii picha rally ilifanyika bagamoyo weekend hii na top 3 winners wote wanaendesha MITSUBISHI EVOLUTION
maskini subaruuuuuu ndo zinajoka kwenye rally
 
Haha Magar kama hayo ndo yanatakiwa yatembeee aiseee na kipande cha Igunga to Singida na Singida to Dodoma achaaa
Hicho kipande acha.. Kutoka sehem moja kuisaka nyingine ni hatari, nilikuwa na nissan patrol natoka tabora nakuja dar.. Kila nikikanyaga wese naona bado tu, nilijuta kupita njia hyo mkuu.
 
s
Kama umefuatilia mbio za juzi Bagamoyo Utajua kuwa Subaru ni matarumbeta tu zinafaa zaidi kwenye harusi na Sio kwenye shughuli hahaahah tena shughuli za wanaume, huku ni Mitsubishi Evo
subiri subaru kaskazin na fans of subaru, inatakiwa madereva wa subaru wajipange upya
 
hahahah subaru ni kama alteza tuu hapa mjini wanatusumbua na kutupigia makelele.

ila subaru inategemeana .imefanyiwa mambo gani kwa wale wenyewe wazee wamashindano wanafaham nn nasema inategemeana gari hiyo ya subaru tuning imefanyiwa na nani?? imefungwa control box ya aina gani chip tuning yake ni kampun gani .mbona utaipenda.

hapo kwenye tuning wengi ndio wanaposhindwa nakukuta gari zao zinamwendo wa kikondoo.

coz tunning ya maana ni garama sana.
 
Back
Top Bottom