Subaru Impreza wrx, Sti vs Mitsubishi Evo

Subaru Impreza wrx, Sti vs Mitsubishi Evo

Kama umefuatilia mbio za juzi Bagamoyo Utajua kuwa Subaru ni matarumbeta tu zinafaa zaidi kwenye harusi na Sio kwenye shughuli hahaahah tena shughuli za wanaume, huku ni Mitsubishi Evo
Mpwa nilikua eneo la tukio huyo prandeep alipita mahali sote tulishangaa utafikiri ndege.
 
ila napenda sana rally. kunamadereva vichaa. nakumbuka morogoro kulikua na dereva hatari anaitwa patty jamaa alikuwa noma
 
kuendesha gari ya mashindano lazima uwe na roho ngumu haswaaa na uwe unaifaham gari vizurii.speed 100 kwako ni yakawaida sana.
 
Tecno c10 ni nomaa asee Kwa spidi inatisha[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
kwa sasa inayofunguka South Africa hakuna cha Range sport wala ford St ni VW Golf 7 huu moto ni mziki mwingine..
 
Baba jezy Golf 7 r series ina bomba nne kila upande mbili mbili hakuna cha mercedes wala Bmw inayofata hapo series zote za hayo magari hakuna inayoweza kufata GTI ina muungurumo wa Simba Dume ninaikubali Mercedes Benz lakini kwa GTI golf 7 r Series naweza nikawaacha mercedes...Subaru zinauzwa usd 1500 na zipo za kumwaga tuu hapa wakati used ya G 7 ni usd 15,000...bongo tumebanwa kwa sababu ya kodi kubwa ndio maana hakuna tunazungumzia Subaru 2016 hii...
 
w
Baba jezy Golf 7 ina bomba nne kila upande mbili mbili hakuna cha mercedes wala Bmw inayofata hapo series zote za hayo magari hakuna inayoweza kufata GTI ina muungurumo wa Simba Dume ni mapenzi yapi kwenye mercedes lakini humo naweza naweza nikawaacha mercedes...Subaru zinauzwa usd 1500 na zipo za kumwaga tuu hapa wakati used ya G 7 ni usd 15,000...bongo tumebanwa kwa sababu ya kodi kubwa ndio maana hakuna tunazungumzia Subaru 2016 hii...
wacha niiangalie mkuu nione ikoje
 
ngoja nikaiangalie hiyo golf 7 na sifa zake aiseee.
 
mazda R8 ni soo aisee
Hio kitu nilikua nayo ni balaa cc 1300 tu manual inakupa horse power zaid ya 200 kwa hizo cc, dar - arusha hakuna cha subaru Wala cha nini aliyekua anataka league na hio gari na unywaji wake mafuta ni km7/litre highway, si mchezo
ila kwenye rally za kibongo sizioni. tuna subaru na mitsubishi
 
270dc310c861f5b39cde40f38ad358b3.jpg
NISSAN GTR Bongo iko moja
Aisee
 
Back
Top Bottom