Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Overall! Subaru ni gari yenye mwonekano mzuri kwa nje Ila ni very costly to maintain kutokana na poor design ya engine yake;mostly subaru forester karibia zote non turbo zina head gasket issues na other related problems compared to other car brands like Toyota,BMW,Mercedes etc na ukisha repair hiyo head gasket ambapo nyingi zinakufa kutokana na leakage ya coolant kuchanganyika na oil(ambayo kwa kiasi kikubwa Subaru company wana strugle kufix for years) mara nyingi ni rahisi hyo problem kupasua kichwa sababu ni ngumu sana kuwakuta mafundi wazuri wanaoweza ku repair gasket za Subaru properly-na shida ya mafundi siyo hapa tanzania even in other countries!
 
Poor design??
EJ 20 engine za Subaru forester, legacy,empreza na WRX STI hizi zote durable, liability na efficient.
Sidhani kama kuna gari za Toyota zenye chini ya CC 2000 zinaweza kutamba Kwenye Subaru Kwa mtazamo wangu naona TATIZO lipo Kwa mafundi Tu lakini kuhusu Subaru boxer engine sidhani kama Toyota ataweza
 
Brother kabla ya kubishana do a research first!
Firstly!nimetaja brands tofauti hapo;do you mean Subaru ya cc na engine uliyoitaja ndiyo the most powerful kushinda engine za brands nyingine zenye cc hzo mf Volkswagen,Benz and etc?
Secondly! Unatakiwa kufahamu kwamba kuna class action lawsuits kutoka kwa watu tofauti tofauti duniani dhidi ya kampuni ya Subaru kutokana na design flaws ambayo inapelekea head gasket failures,na hapa tuaongelea Subaru models zote mpaka za recently
Thirdly!Subaru unaifananisha in terms of efficiency na gari gani-Bmw,Benz,volks?Hapa utakuwa unakosea-Eg.Europeans car manufactures wanatengeneza engine ndogo wanaweka na turbo Ili kuboost efficiency kuliko Subaru yenye engine kubwa na consumption kubwa ya mafuta lakini mbele ya Volkswagen GTi(Eg.) it's useless in terms of everything.
 
Ndugu Yangu naona umeshindwa kunielewa Mimi nimesema Kwa Magari yetu ya kijapan kama Toyota (najua Kwa European cars ni habari nyingine nitakuwa chizi kama nitaifananisha Subaru ).
Tukirudi Kwenye Toyota na nissan zilizo chini ya CC 2000 sidhani kama gari ya kuifananisha Subaru Kwenye upande wa performance.

Kwa mfano Subaru forester cross sport yenye turbocharger,tiptronic transmission au manual transmission utaifananisha na gari ipi Kwenye Toyota au nissan zenye chini ya CC 2000?
 
Attachments

  • IMG-20191104-WA0044.jpg
    IMG-20191104-WA0044.jpg
    174.3 KB · Views: 30
Ndugu Yangu naona umeshindwa kunielewa Mimi nimesema Kwa Magari yetu ya kijapan kama Toyota (najua Kwa European cars ni habari nyingine nitakuwa chizi kama nitaifananisha Subaru ).
Tukirudi Kwenye Toyota na nissan zilizo chini ya CC 2000 sidhani kama gari ya kuifananisha Subaru Kwenye upande wa performance.

Kwa mfano Subaru forester cross sport yenye turbocharger,tiptronic transmission au manual transmission utaifananisha na gari ipi Kwenye Toyota au nissan zenye chini ya CC 2000?
For Japanese cars;ukiongelea mbio tu go for Subaru ingawa sijajua sababu sina uzoefu kama Subaru non turbo inaweza Kimbia zaid ya crown non turbo na mengineyo ,ukiongelea ubora wa engine na gharama ndogo za repairs go for Toyota.Sikuzote Kupanga ni kuchagua but for me I don't recommend mtu anunue Subaru based on the quality,durability and the cost of maintainance mpaka wakiweza kutatua changamoto zake.
 
Subaru inahitaji mtu makini sana kwenye utunzaji;na wakati wa service jenga utaratibu wa kukagua gasket,na zoezi la kuangalia oil na coolant mara kwa mara ni muhimu mnoo!.Na Pia mtu usipendelee sana kuendesha gari hii on higher rpm's cause pressue inayokuwa created ndani ya blocks hupekekea coolant kuvujia ndani na unapoona engine inaanza ku overheat be extra careful
 
For Japanese cars;ukiongelea mbio tu go for Subaru ingawa sijajua sababu sina uzoefu kama Subaru non turbo inaweza Kimbia zaid ya crown non turbo na mengineyo ,ukiongelea ubora wa engine na gharama ndogo za repairs go for Toyota.Sikuzote Kupanga ni kuchagua but for me I don't recommend mtu anunue Subaru based on the quality,durability and the cost of maintainance mpaka wakiweza kutatua changamoto zake.
Ndio maana wabongo wengi tunakimbilia Kwenye Toyota huku Kwingine kunahitaji mfuko uwe mnene vinginevyo utauza Tu gari yenyewe.
Uzuri wa Toyota ukiwa na TSH 100000/= unafanya service bila shida yeyote tofauti ilivyo na manufacturers wengine
 
Yes!kwa wewe ambaye umejinasibu unapenda carina Ti na unapenda the same car na kambio kidogo;Go for Carina Ti 2000cc,itakupa experience tofauti ya nguvu
 
Brother kabla ya kubishana do a research first!
Firstly!nimetaja brands tofauti hapo;do you mean Subaru ya cc na engine uliyoitaja ndiyo the most powerful kushinda engine za brands nyingine zenye cc hzo mf Volkswagen,Benz and etc?
Secondly! Unatakiwa kufahamu kwamba kuna class action lawsuits kutoka kwa watu tofauti tofauti duniani dhidi ya kampuni ya Subaru kutokana na design flaws ambayo inapelekea head gasket failures,na hapa tuaongelea Subaru models zote mpaka za recently
Thirdly!Subaru unaifananisha in terms of efficiency na gari gani-Bmw,Benz,volks?Hapa utakuwa unakosea-Eg.Europeans car manufactures wanatengeneza engine ndogo wanaweka na turbo Ili kuboost efficiency kuliko Subaru yenye engine kubwa na consumption kubwa ya mafuta lakini mbele ya Volkswagen GTi(Eg.) it's useless in terms of everything.
Unaposema engine kubwa una maanisha nn! Subaru forester inatumia ej20 cc 1990 ni kubwa?
 
Hiyo ndo engine ya subaru forester cc 1990. Nakuuliza huo ukubwa unaosema ni upi?
Try to understand easily! Ukubwa wa kitu unalinganishwa na kitu kingine kinachofanana(Base);it's obviously engine ya gari ya cc 1990 ni kubwa kuliko gari ya cc 1500! Simple and clear!
 
Na nilichokiandika ni zaidi ya hichi unachokiulizia;soma na uelewa vyema!
 
Hiyo ndo engine ya subaru forester cc 1990. Nakuuliza huo ukubwa unaosema ni upi?
Nduguu!! Sisi wenye pesa ya kuunga-unga tunaona CC 1990 ni kubwa mno ndiyo maana wengi tunaishia Kwenye CC 1490(hapa kuna kila aina ya Magari hasa Toyota pia asilimia 60% ya Magari hapa dar ni CC1490).
Ndiyo maana miaka ya nyuma watu walikimbilia kununua Passo lakin mwisho wa siku zinawatesa kuliko mwenye gari yenye CC 2490
 
Back
Top Bottom