Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Mnamiliki gari halafu mnawaza mafuta. Wakati wenu ulikuwa bado. Endeleen kupanda FEKON
Unakosea...

Kuna mahali nimelalamika gari limenishinda kulihidumia mafuta..?

Point yangu ililenga kutoa maelezo ya namna mtu anaweza kufahamu uhalisia wa consumption ya mafuta...mfano kila lita 1, gari fulani linaweza kwenda km ngapi..

Sidhani kama kuandika vile nilikosea..

Maana taarifa za mtandaoni nyingi hazina uhalisia
 
Unajistukia! Ulaji wa mafuta unasababishwa na vitu vingi (eg. Mileage, ubovu wa Gari, barabara, ujazo wa upepo kwenye matairi etc.)
 
Samahani mkuu cruiser gani maana zipo aina nyingi.
 
mkuu hili tatizo limenitokea nimefanya overhaul ila sasa nahangaika na misfire cylinder 1 na 2 , siwezi shauri mtu anunue subaru kwa kweli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…