Subaru vs Vanguard

Nimekuta huu mjadala twitter
View attachment 2465854

Nimeshangaa watu wengi wanachagua Vanguard

Vanguard haitakupa headaches hasa kwenye spares na mafundi na reliability kwa ujumla. Mengine ni personal preferences ingawa nafikiri iko overpriced kidogo kulinganisha na hizo gari nyingine, labda kwa sababu ya umaarufu wake (kama Rav4)
 
Vanguard haitakupa headaches hasa kwenye spares na mafundi na reliability kwa ujumla. Mengine ni personal preferences ingawa nafikiri iko overpriced kidogo kulinganisha na hizo gari nyingine, labda kwa sababu ya umaarufu wake (kama Rav4)

Kweli Vanguard iko juu sana saivi bila mil 30 haupati.
 
Mimi SUBARU FORESTER kama hii nilichukua Mil 40+ gari inakupa stability ya hali ya juu, haiondoki barabarani kizembe, speed, afu laini ile mbaya.
Chukua Subaru forester XT hizi kubwa zinafanana na Kluger na VanguardView attachment 2465889

Hii ni ya mwaka gani.


Tatizo sisi wengine ni wa ruti zetu nyingi ni kijijini .


Kama nikitaka Subaru ya offroad nichukue ya mwaka gani??
 
Nimekuta huu mjadala twitter
View attachment 2465854

Nimeshangaa watu wengi wanachagua Vanguard
Hata mm niliiona hyo post nikasoma comment zote..
Wengi wamechagua vanguard aise..
Sishangai maana wabongo wengi wakiona saloon cars kama crown majesta au mercedes benz huwa wanaziita zile tax tu...watu hawajui magari
 
Offroad inafaaa??
Aisee sasa hapa inategemea na aina ya barabara, Sehemu zingine Offroad unakutana na tope na utelezi mzito na kwingine Mawe mawe kama Oljoro kule. Sasa sijui ww unataka kuizamisha wapi.
Kama unataka gari za Shamba tafuta Pick up mkuu kwa ushauri wangu tu. Hakuna gari ya Shamba kati ya hzo hapo juu.
Mijini na miji midogo yote utatembea lkn ukisema unataka kuzama Kigoma, mara Arusha kwenye makorongo achana nayo utakufa na presha Mil 30+ ni pesa mingi kuchezea mkuu.
Ushauri wangu tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…