Subaru vs Vanguard

Subaru vs Vanguard

Aisee sasa hapa inategemea na aina ya barabara, Sehemu zingine Offroad unakutana na tope na utelezi mzito na kwingine Mawe mawe kama Oljoro kule. Sasa sijui ww unataka kuizamisha wapi.
Kama unataka gari za Shamba tafuta Pick up mkuu kwa ushauri wangu tu. Hakuna gari ya Shamba kati ya hzo hapo juu.
Mijini na miji midogo yote utatembea lkn ukisema unataka kuzama Kigoma, mara Arusha kwenye makorongo achana nayo utakufa na presha Mil 30+ ni pesa mingi kuchezea mkuu.
Ushauri wangu tu mkuu.

Nashukuru kaka. Shida hilux hazishikiki nazo
 
Mimi SUBARU FORESTER kama hii nilichukua Mil 40+ gari inakupa stability ya hali ya juu, haiondoki barabarani kizembe, speed, afu laini ile mbaya.
Chukua Subaru forester XT hizi kubwa zinafanana na Kluger na VanguardView attachment 2465889
Kati ya hii forester 2014 au bmw x3 2012 unasimama wapi, japo bmw bei ipo juu kidogo?
BM789894_7640f0.jpg
 
Ni 2GR-FSE hio mzee inafua 280HP with 5-Speed ECT enough kuimeza subaru mapema sana.

Kwa ile ya 2AZ pia inafua 170HP with 7-Speed CVT ambayo ni nyepesi sana kukamata mwendo mkali bila kuremba. Subaru non turbo lazma apotezwe na gear zake 4!
Kwahiyo 2AZ anamezwa mapema sana na Crown, Brevis, Mark X na wenzake?
 
Back
Top Bottom