ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Model ipi ya subaru unaisemea mkuu, manake zipo models nyingi.Vanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M
Bei tu ni kigezo tosha kuwa hizo gari si sawa