Subaru vs Vanguard

Subaru vs Vanguard

Ya mwaka gani hii?..mimi nilichukua ya 2009 kwa 25M+ mwezi November. Na nilichukua hii kwa sababu nilishindwa Vanguard. Vanguard ni habari nyingine. Hata huyo alisema anashindanisha Vanguard na Dualis amechemka sana. Utofauti utauona tu kwenye bei. Dualis bei yake ni nusu ya bei ya Vanguard.
Kwa hiyo Mzee baba wewe kipimo chako ni Bei!!?? Tuanzie hapo
 
Diesel LC200 haikimbii au sio..!!
Umeshawahi kukutana nayo highway au ni hizi short trips za Mikocheni Posta..!
Mkuu hao ndiyo wabongo wanaitwa huyo jamaa hajawahi kuendesha crown wala kupewa lift kwenye LC200..
Hapa jukwaaani kuna story nyingi za kwenye kahawa hii ndiyo shida nimesoma comments nyingi kule juu nimeshangaa Sana
 
Kuna uzi nimeuona mahala unazungumzia uzuri wa kutembea kwa miguu kwa afya ya binadamu, unaweza jaribu kuchangia kwenye huo uzi. Achana na nyuzi za watu wanaotembea wakiwa wamekaa!
Kwa kizazi hiki ni,wachache sana wanaotambua kuwa kutembea ni mazoezi kila mtu ana ndoto ya kumiliki gari mimi ni mmoja wa viumbe wanaopenda sana kutembea kwa mguu
 
Back
Top Bottom