Nguvu sio torque Ni hp
Torque is just turning force
Where turning force times angular speed ndo unapata hp
Kama torque ndo kigezo gari zote zenye torque kubwa zingekuwa tishio
Ogopa gari yenye hp kubwa hizo kina lambo , Hennesey, agera nk Ni horse power zake ndo zinafanya gari ikimbie kiasi kile
Chukulia mfano 1JZ GTE with 280hp huwa Ina torque kidogo tu somewhere 377nm zidi ya lc200 diesel yenye torque 625+ nm
Unachopaswa kujua Ni kwamba engine ambazo zinakaribia kulingana na zinatumia fuel ya aina moja Basi yenye torque kubwa ndo yenye hp kubwa..ukisema una compare engine za aina mbili tofauti mafuta tofauti huwezi chukua kigezo Cha torque kuwa ndo kitafanya gari ikimbie sababu diesel hazizunguki Sana ila Zina torque kubwa at lower rpm
Gari za diesel kawaida hizi za kutembelea huwezi kuta gari Ina hp 200 na haijafikisha torque zaidi ya 370nm ila gari za petrol hp 200 at 5500rm au 6000rpm torque hata haifiki 300nm ila diesel hp 200 torque inaeza kuwa 400+ nm
Horse power zako ndo zitaamua ukae nyuma au mbele