HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndo nasema mwenye crown akajipime kwa waleWale jamaa wanakimbia mnooo aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nasema mwenye crown akajipime kwa waleWale jamaa wanakimbia mnooo aise
Mi naye wale jamaa nilikutana nao usiku spidi zao hatari uko 180 ila wanakupita na huwaoni tenaWana uzoefu uliopitiliza na umakini wa hali ya juu...mm najiulizaga usku huwa wanaonaje yale matuta ,mm tuta huwa naliona nikishalifikia na ndio maana napenda gari ya juu maana ya chini ntakua nashindwa kufukia matuta
Unanunuaje gari used 40m?Mimi SUBARU FORESTER kama hii nilichukua Mil 40+ gari inakupa stability ya hali ya juu, haiondoki barabarani kizembe, speed, afu laini ile mbaya.
Chukua Subaru forester XT hizi kubwa zinafanana na Kluger na VanguardView attachment 2465889
zile gari zikifika tu zinapack gerage zinapigwa diagonosis zina oshwa na maji ya dasaniWana uzoefu uliopitiliza na umakini wa hali ya juu...mm najiulizaga usku huwa wanaonaje yale matuta ,mm tuta huwa naliona nikishalifikia na ndio maana napenda gari ya juu maana ya chini ntakua nashindwa kufukia matuta
Hilux mninga ndio nzuri kwa shamba.HiluX mninga za mwaka 1996 labda ila Revolution utaisikilizia bombani tu kwa hio hela.
Vanguard ina heshima yake bana...ni gari ya juu usifananishe na visubaru...eti bora subaru kuliko vanguard [emoji1787][emoji1787]..acheni bangi..vanguard ina level zake...
Unanunuaje gari used 40m?
Hujui kitu wewe...yaani hujui Subaru Forester?Vanguard ina heshima yake bana...ni gari ya juu usifananishe na visubaru...eti bora subaru kuliko vanguard [emoji1787][emoji1787]..acheni bangi..vanguard ina level zake...
kwanza wanavo kupuliza😂😂 unasema kwel wanaume wamepitaMi naye wale jamaa nilikutana nao usiku spidi zao hatari uko 180 ila wanakupita na huwaoni tena
tafuta pesa acha kutetea umaskin wakoHujui kitu wewe...yaani hujui Subaru Forester?
Sasa brother kwenye majibu yako nadhan umesha nielewa what i meant ..maana yake ukitembelea rpm ile ya zaman basi speed itakua kubwa kuliko iliyokua na diff ya zaman at same rpm...Unaweza badili diff ukaweka yenye ratio ndogo kidogo ila haitakufanya kufikia speed kubwa ambayo hukuwahi fika na diff ya awali Sana Sana itasaidia kupunguza engine rpms kwenye same speed
Bmw X3 2012Kati ya hii forester 2014 au bmw x3 2012 unasimama wapi, japo bmw bei ipo juu kidogo?
View attachment 2467072
Huoni vibao vinavyokuelekeza kupunguza mwendo mbele kuna tuta?Wana uzoefu uliopitiliza na umakini wa hali ya juu...mm najiulizaga usku huwa wanaonaje yale matuta ,mm tuta huwa naliona nikishalifikia na ndio maana napenda gari ya juu maana ya chini ntakua nashindwa kufukia matuta
Huoni vibao vinavyokuelekeza kupunguza mwendo mbele kuna tuta?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Vanguard ina heshima yake bana...ni gari ya juu usifananishe na visubaru...eti bora subaru kuliko vanguard [emoji1787][emoji1787]..acheni bangi..vanguard ina level zake...
Now this is the comment i wanted...though Subaru wenyewe wana all wheel drive system nzuri sana(asymmetric all wheel drive) ipo very active kuliko ya van guard kwakua ya vangaurd all wheel drive system yake ina engage when necessary where by pale traction inapopotea kwa front tires basi electric clutch ya vanguar iliyokua integrated kwenye rear differential huwa ina engage nakufanya tairi za nyuma zitoe support kwenye ku drive gari ingawa power kwenye tairi za nyuma inakua less than 50% so power support ya tairi ya nyuma kwenye serious offloading basi all wheel drive system ya vanguard inaweza isikusaidie kabisa unlike ya subaru..Ni 2GR-FSE hio mzee inafua 280HP with 5-Speed ECT enough kuimeza subaru mapema sana.
Kwa ile ya 2AZ pia inafua 170HP with 7-Speed CVT ambayo ni nyepesi sana kukamata mwendo mkali bila kuremba. Subaru non turbo lazma apotezwe na gear zake 4!
Mkuu kuna acceleration na speed..these are two different terms japo zina relate...moja ana accelerate very fast na kufika top speed mapema..mwingine acceleration ni ndogo ila ina top speed kubwa..so any European car hata kama ina acceleration ndogo but so long as ina top speed kubwa lazima mjapan amezwe...Vp hao mapacha wa3( mark x , Crown na Brevis) wakikutana na C200 Kompressor au 320i nani atamezwa hapo mkuu kwa uzoefu wako?
Vanguard ni Long wheelbase ya Rav4Na actually Vanguard ni Rav4 ila imeongezewa upana na vionjo vingine
Imeshiba sana hiiNow this is the comment i wanted...through Subaru wenyewe na all wheel drive system nzuri sana(asymmetric all wheel drive) ipo very active kuliko ya van guard though kwenye kuchanganya speed vanguard ana advantage ya giabox so ana attain high speed quick fast kuliko Subaru. Na pia at higher speed vanguard anatembelea rpm ya chini kuliko subaru because subaru apo na fixed gear ratio wakati vangaurd because of CVT ana infinite gear ratio so the car always is in perfect gear ratio depending on various driving conditions..
Subaru Forester XT(SH5) ina seat zipo chini na uncomfortable ukilinganisha na vanguard.. vanguard ina occupants room kubwa kuliko subaru..
Vanguard ni reliable na durable kuliko subaru..(boxer engine by design inafanya iwe na some common engine problems kuliko vanguard though advantage ya boxer engine inafanya gari isiwe na vibration sana kama inline engines.
Kwa ndani Subaru inaonekana kidogo ipo modern kidogo compared to vanguard (yaan layout ya dashboard ya vanguard ipo very basic compared to subaru.
In terms of traction control systems, Subaru ipo advanced kuliko vanguard.