Subaru vs Vanguard

Subaru vs Vanguard

Lakini Katika european Mercides anaamika sana hata uko ulaya ni expensive but known durable&reliable
No thanks boss...they are just money pits and not reliable..you buy them provided you can afford to maintain them...

Ki ufupi gari zote uharibika but frequency ya brake down ndo ina determine reliability na dependability ya kitu.so most of European cars because of being over engineered, inafanya failure points ziwe nyingi sana. Na failure nyingine ni because of design so inakuta inherently zipo prone to failure anytime. Mfano some vital engine parts unqkuta zinatengenezwa kwa plastic
 
No thanks boss...they are just money pits and not reliable..you buy them provided you can afford to maintain them...

Ki ufupi gari zote uharibika but frequency ya brake down ndo ina determine reliability na dependability ya kitu.so most of European cars because of being over engineered, inafanya failure points ziwe nyingi sana. Na failure nyingine ni because of design so inakuta inherently ipo prone to failure anytime.

Which sedan car would you suggest someone to buy

Budget 17-22m ,ambayo imeproove tayari hapa bongo
 
Usiidhalau Carina TI/SI...hii ukiwa dereva si muoga na una giabox na engine nzuro unakalisha Subaru XT mapema sana..watu wajue Subaru XT is just a normal cross over not a performance car...
hii ni XT mkuu, nambie carina gani itaweza kukatiza hapa... asante
 
No thanks boss...they are just money pits and not reliable..you buy them provided you can afford to maintain them...

Ki ufupi gari zote uharibika but frequency ya brake down ndo ina determine reliability na dependability ya kitu.so most of European cars because of being over engineered, inafanya failure points ziwe nyingi sana. Na failure nyingine ni because of design so inakuta inherently ipo prone to failure anytime.

Kuna tofauti ya kuwa na high maintenance costs na kutokuwa reliable. Mercedes nyingi ambazo si super luxury (kama s class) ni reliable ila si rahisi kumaintain kama Toyota. Then utalipia kinachopungua kwenye comfortability, safety features, handling na drive feel
 
Mie issue yangu si cost...issue yangu ni frequency ya kuzingua
 
Mie issue yangu si cost...issue yangu ni frequency ya kuzingua
Sawa mkuu
Naomb kuuliza ivi Rav 4 yenye 1Zz engine(1790 cc) na Premio 1zz (1790)
Kwenye upande wa Fuel zitakuwa sawa ikiwa Engene zote sawa??
 
Ndo you can try by your self boss wala si dharau boss bali ni physics principal...hata premio new model haifatwi na subaru XT non turbo.. issue ni gear ratio mkuu ndipo uchawi ulipo..
Ukishasema XT hiyo tayari ni turbo charged! XT inakuaje tena natural aspirated?

Halafu umekuwa too general! Na bado umeangalia idadi ya gia pekee..

Hivi EJ25 inaweza kusogelewa na carina gani?
 
Ipi inakula Vizur zaid?
N kwann kuwe na utofaut wakat injin zote sawa?
Seat 5 nk.
Ukiwa unasoma specs za gari...take your time/pay attention to details kuja gear ratio zipoje kati ya higher gears na low gears...then body weight...hii ita determine fuel efficiency, power output iendayo kwa matairi...nk..ni hivi hii engine ikija kwenye Rav 4 ni nzito Zaid compared to premio...so hapa engine itakua na less load kwenye premio kuliko kwenye rav 4.hence low effort is needed for initial velocity from dead stop kwa premio kuliko kwenye rav4..

Kwakua rav 4 inahitaji nguvu nyingi kidogo basi kuna alterations zinafanywa kwenye gearbox ya rav 4 ili gear box iwe na higher torque multiplication kufanya engine iweze ku move weight ya rav 4 therefore gear box inayofungwa kwenye engine hii ikiwa kwenye ra4 inaungwa na geabox yenye idadi kubwa zaidi ya gear ratio kwa gear number moja na mbili ili ku multiply engine power hence low speed but higher fuel consumption kwakua engine wil be revving st higher rpm kuweza ku attain speed fulan unlike kwenye premio with same engine
.kule gears zinakua na namba chache ya teeth.

3 gear box ya rav 4 ina transfer case for all wheel drive system..so this increases fuel consumption wakati same engine kwa premio na front wheel drive.
 
Nimegundua gari pendwa ya JF ni Subaru Forester XT, nakumbuka zamani gari pendwa ilikuwa Carina TI[emoji23][emoji23]
JF raha sana, member mmoja mkongwe akisema gari flani nzuri basi wooote wanatembea mule mule. Hapo kati walikua wanayasifia sana yale madude yenye shape ya jeneza (rumion).
 
JF raha sana, member mmoja mkongwe akisema gari flani nzuri basi wooote wanatembea mule mule. Hapo kati walikua wanayasifia sana yale madude yenye shape ya jeneza (rumion).
Rumio ni over rated car..na ukikuta mtu anaYo basi kama ni highway anahisi ni gari kubwa kisa kaweka rims na oversized tires basi anajifanya kuendesha recklessly ili akupite..kumbe ni ist tu iliyo ile au spacio iliyo changamka...

But shida yetu bongo kuna behavior fulan hivi ya kununua gari kwa trend but ni wachache sana wanao nunua gari kwa kuzingatia technical issues ili kujua namna ya kuishi nalo including kujua what aftermarket items can be installed kwenye gari. Common failure points na what to do kupunguza chances ya failures kutokea.

Ila to conclude kama mtu umependa gari lolote nunua tu.. dunia ni Kijiji kimoja so spea utapata tu hata kama gari inherently ipo exposed to so many failures possibilities (kama most of European, Korean, American sndnd few japanese car brands)..mfuko wako tu.

But you want to have less stress with less chances of failures,, go for Honda na Toyota.
 
Which sedan car would you suggest someone to buy

Budget 17-22m ,ambayo imeproove tayari hapa bongo
Mkuu napata wakati mgumu kukujibu maana hapa issues ni preference, na utility unayo expect kutoka kwenye gari uitakaYo..but sedan ukiweza pata Toyota camry ni nzuri. The rest were ndo mwenye final decision kulingana na desire yako na expectations.
 
Back
Top Bottom