Gari ya horse power 267hp ton 3 kasoro dhidi ya sedan yenye hata 200hp 1.5ton mbona hesabu ndogo Sana hio mkuu
Afu sio Kila mtu anakaa dar huko mikocheni napasikiaga tu ITV wakisema Wana ofisi huko
Unataka sema tukiweka lc200 na brevis yenye 220hp kwnye ka mkeka safi eg runway ya ndege lc200 itafika kabla ya brevis,
Gari zote ziwe nzima LC200 engine take nikubwa in terms of cc with lower hp hivo kuifanya engine kudumu muda mrefu while maintaining the same power tofauti na brevis ambayo tutaiweka mzigoni iliotengenezwa 2003-2005 huko imetumika vya kutosha hivo haina service nzuri
Can you imagine tuweke 4gr mpya na lc200 mpya kwa race hata ya 200km
Ushawahi endesha ukaona namna ukikanyaga wese inakupush kwa nyuma Kama mtu kakushika kifuani ushawahi on namna inapandisha mshale kuisaka 180kph ambayo ndo limiter yake hairuhusu kutembea zaidi ya hapo?
Hizo sedani zione hivo hivo labda ulete kina VW kale ka hatchback na sedan za BMW Audi nk tusiweke pamoja ila sio ushindani wa race dhidi ya lc200 na sedan Kama crown , brevis , Mark x , hizo Ni za kawaid Sana ila ushindi mapema Sana
Hulu Germany Autobahn lc200 zinasumbuliwa hata na gari cc 2000 kavu