Subaru vs Vanguard

Subaru vs Vanguard

Ni 2GR-FSE hio mzee inafua 280HP with 5-Speed ECT enough kuimeza subaru mapema sana.

Kwa ile ya 2AZ pia inafua 170HP with 7-Speed CVT ambayo ni nyepesi sana kukamata mwendo mkali bila kuremba. Subaru non turbo lazma apotezwe na gear zake 4!
hayo mafuta unayo mkuu ya kuchezea mshale wa Hp280😇😂😂
 
Dereva akiwa jasiri hata akiwa na run x atakukata ww na V8 yako halfu muoga muoga...
Tatzo la bongo njiani mtu anamuovertake mtu yupo na mwendo wake hata hana habari za kushindana..halfu akimkata anakuja kijiweni anasema aaah nilimkata jamaa wa V8 mm nikiwa na crown yangu 4gr 😀
 
Back
Top Bottom