new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
No thanks boss...they are just money pits and not reliable..you buy them provided you can afford to maintain them...Lakini Katika european Mercides anaamika sana hata uko ulaya ni expensive but known durable&reliable
Huyo jamaa ni mwehu ujue.
No thanks boss...they are just money pits and not reliable..you buy them provided you can afford to maintain them...
Ki ufupi gari zote uharibika but frequency ya brake down ndo ina determine reliability na dependability ya kitu.so most of European cars because of being over engineered, inafanya failure points ziwe nyingi sana. Na failure nyingine ni because of design so inakuta inherently ipo prone to failure anytime.
hii ni XT mkuu, nambie carina gani itaweza kukatiza hapa... asanteUsiidhalau Carina TI/SI...hii ukiwa dereva si muoga na una giabox na engine nzuro unakalisha Subaru XT mapema sana..watu wajue Subaru XT is just a normal cross over not a performance car...
No thanks boss...they are just money pits and not reliable..you buy them provided you can afford to maintain them...
Ki ufupi gari zote uharibika but frequency ya brake down ndo ina determine reliability na dependability ya kitu.so most of European cars because of being over engineered, inafanya failure points ziwe nyingi sana. Na failure nyingine ni because of design so inakuta inherently ipo prone to failure anytime.
Mie issue yangu si cost...issue yangu ni frequency ya kuzinguaKuna tofauti ya kuwa na high maintenance costs na kutokuwa reliable. Mercedes nyingi ambazo si super luxury (kama s class) ni reliable ila si rahisi kumaintain kama Toyota. Then utalipia kinachopungua kwenye comfortability, safety features, handling na drive feel
Porsche.Lakini Katika european Mercides anaamika sana hata uko ulaya ni expensive but known durable&reliable
Kaka ukitaka amini you buy any European car utaelewa tu...wala utakiwi kuhadithiwaPorsche.
Hakuna anaemfikia.
Sawa mkuuMie issue yangu si cost...issue yangu ni frequency ya kuzingua
Zipo tofauti.. kwenye consumptionSawa mkuu
Naomb kuuliza ivi Rav 4 yenye 1Zz engine(1790 cc) na Premio 1zz (1790)
Kwenye upande wa Fuel zitakuwa sawa ikiwa Engene zote sawa??
Ipi inakula Vizur zaid?Zipo tofauti.. kwenye consumption
Umeidharau sana subaru mkuu!!Usiidhalau Carina TI/SI...hii ukiwa dereva si muoga na una giabox na engine nzuro unakalisha Subaru XT mapema sana..watu wajue Subaru XT is just a normal cross over not a performance car...
Ndo you can try by your self boss wala si dharau boss bali ni physics principal...hata premio new model haifatwi na subaru XT non turbo.. issue ni gear ratio mkuu ndipo uchawi ulipo..Umeidharau sana subaru mkuu!!
Ukishasema XT hiyo tayari ni turbo charged! XT inakuaje tena natural aspirated?Ndo you can try by your self boss wala si dharau boss bali ni physics principal...hata premio new model haifatwi na subaru XT non turbo.. issue ni gear ratio mkuu ndipo uchawi ulipo..
Ukiwa unasoma specs za gari...take your time/pay attention to details kuja gear ratio zipoje kati ya higher gears na low gears...then body weight...hii ita determine fuel efficiency, power output iendayo kwa matairi...nk..ni hivi hii engine ikija kwenye Rav 4 ni nzito Zaid compared to premio...so hapa engine itakua na less load kwenye premio kuliko kwenye rav 4.hence low effort is needed for initial velocity from dead stop kwa premio kuliko kwenye rav4..Ipi inakula Vizur zaid?
N kwann kuwe na utofaut wakat injin zote sawa?
Seat 5 nk.
Mmh my friend...XT kuna turbo na non turbo.Ukishasema XT hiyo tayari ni turbo charged! XT inakuaje tena natural aspirated?
Halafu umekuwa too general! Na bado umeangalia idadi ya gia pekee..
Hivi EJ25 inaweza kusogelewa na carina gani?
Sawa mkuu!Mmh my friend...XT kuna turbo na non turbo.
JF raha sana, member mmoja mkongwe akisema gari flani nzuri basi wooote wanatembea mule mule. Hapo kati walikua wanayasifia sana yale madude yenye shape ya jeneza (rumion).Nimegundua gari pendwa ya JF ni Subaru Forester XT, nakumbuka zamani gari pendwa ilikuwa Carina TI[emoji23][emoji23]
Rumio ni over rated car..na ukikuta mtu anaYo basi kama ni highway anahisi ni gari kubwa kisa kaweka rims na oversized tires basi anajifanya kuendesha recklessly ili akupite..kumbe ni ist tu iliyo ile au spacio iliyo changamka...JF raha sana, member mmoja mkongwe akisema gari flani nzuri basi wooote wanatembea mule mule. Hapo kati walikua wanayasifia sana yale madude yenye shape ya jeneza (rumion).
Mkuu napata wakati mgumu kukujibu maana hapa issues ni preference, na utility unayo expect kutoka kwenye gari uitakaYo..but sedan ukiweza pata Toyota camry ni nzuri. The rest were ndo mwenye final decision kulingana na desire yako na expectations.Which sedan car would you suggest someone to buy
Budget 17-22m ,ambayo imeproove tayari hapa bongo