Subaru vs Vanguard

Subaru vs Vanguard

Ni 2GR-FSE hio mzee inafua 280HP with 5-Speed ECT enough kuimeza subaru mapema sana.

Kwa ile ya 2AZ pia inafua 170HP with 7-Speed CVT ambayo ni nyepesi sana kukamata mwendo mkali bila kuremba. Subaru non turbo lazma apotezwe na gear zake 4!
Hivi Vanguard yenye 2GR-FSE inammeza Subaru XT ile yenye turbo?
 
Subaru forester fourth generation, SJG engine ya FA20 yenye cc 2000 ya mwaka 2013 na kuendelea ina horse power 272 na torque ya 350nm.

Hiyo vanguard engine yenye 2AZ yenye cc 2400ina maximum horse power ya 160. Sasa kama una akili timamu unachagua ipi?

Vanguard 2Az inafanana na subaru SH5 third generation ya mwaka 2008-2012 yenye engine ya EJ20, na 160 Hp kwa cc2000. Sasa kama cc2000 zina uwezo wa ku deliver similar horse power kwa gari yenye cc2400 hiyo difference ya 400 cc ni loss ya bure kabisa kwenye mafuta.

kwahyo kwa kikao changu hiki kifupi na hii classification fupi inatosha kumpa Subaru mataji ya maana.

Vanguard ya 2GR ina cc3500 na inazalisha 304Hp sasaaa tuseme hii cc 3500 2GR vs cc 2000 FA20 inayo zalisha 272 hp ipi ni competitive advantage? Ipi ni fuel economy na ipi iko more reliable? Ni chaguo lako.

I will choose subaru coz inachoma Mafuta machache kuzalisha power kubwa na kiuchumi ni gari nzuri na gari rafiki. Hili wese ni 3500 kwa lita so itahitaj akili Kubwa sana kufanya choice

Difference ya horse power 34 tuu kati ya FA20 na 2GR isikununulishe gari la cc3500 that is a waste of money and ni gari nzito for nothing. Stick with subbie ya SJG
 
Ivi unadhan kilicho zidi ni horse power tu, Ukikaa kwenye Van ya cc 3500 na iyo subaru ukiachia ccna horse power ww mwenyewe tu unajua ipi ni Gari na hiyo van ya cc3500 inatoa hp 360 sio 304
 
Kaazime subaru ukae uje utusimlie
 
Ivi unadhan kilicho zidi ni horse power tu, Ukikaa kwenye Van ya cc 3500 na iyo subaru ukiachia ccna horse power ww mwenyewe tu unajua ipi ni Gari na hiyo van ya cc3500 inatoa hp 360 sio 304

Hp360 ya nyoko
IMG_0926.jpg
 
Back
Top Bottom