Subaru vs Vanguard


Ila 2gr ni engine nzuri. Very smooth na ina power ya kutosha bila kusahau reliability.
Shida ni mafuta tu
 
Ni kweli mkuu mimi pia nilikuwa mtu ninaependa sana Vanguard , lakini kabla ya kununua nikafanya sana research , kwa kusoma review mbali mbali, nikaja kugundua Vanguard inapewa thamani ya pesa kuliko kitu inachokitoa.... Subaru forester ni best kuliko Vanguard... Performance, fuel consumptions, kutulia ikiwa barabarani, speed kubwa gari haiyumbi....
 
50mil vanguard?? Siyo kweli. Haifiki hata 40m
 
W
Weka picha mzee wangu
 
Vanguard ina hadhi, heshima. (Kwa hapa tz) ukilinganisha na Subaru forester

Kijana mdogo ukionekana na Vanguard unaogopeka kuliko subaru....

Subaru inaonekana gari za vijana walizochukua kwa mkopo
 
Vanguard ina hadhi, heshima. (Kwa hapa tz) ukilinganisha na Subaru forester

Kijana mdogo ukionekana na Vanguard unaogopeka kuliko subaru....

Subaru inaonekana gari za vijana walizochukua kwa mkopo
Hivi ni una ona wewe, sio wote wanaona hivyo
 
Vanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M

Bei tu ni kigezo tosha kuwa hizo gari si sawa
ona hii mtu subaru generation y ngap unazungumzia kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…