njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na mwisho anamalizia kwa Sope zeruzeru akidai ana balance story
Wengine wataenda mbali na kupiga simu huko kwenye radio za south africa wakijadili suala la hilo na kuikandia simba kwa nguvu na akili zao zote
It will be a fun day kwa makanjanja
Wengine wataenda mbali na kupiga simu huko kwenye radio za south africa wakijadili suala la hilo na kuikandia simba kwa nguvu na akili zao zote
It will be a fun day kwa makanjanja