ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwani uongo?Kashaanza huko twitter anadai CAf wamesema ni ndumba aiseeeee, english nayo taabu ingawa kila siku anaenda kwenye nchi zinazozungumza english yaani jamaa ni hopeless kabisa , sasa hivi atakuwa kesha discuss na SOPE llijinga ,angle za kuongea kesho hapo EFM eti na yeye wakiitwa journalists atajitokeza, daaaahhh
View attachment 2227272