njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ahaaa umerudi kutoka kwenye BAN siyo?pole sana usirudie kumtukana tena genius kama mimi..sasa kujibu hoja yako ni kwamba wale siyo waandishi wa habari..waandishi ni kama Jenerali Ulimwengu, Abdallah Majura, Stan katabalo wale ni MAKANJANJA na kuna moja hilo lazima hadi sasa lishafanya interview huko south africa kuiwashia moto simbaKwahiyo wao kama waandishi wa michezo wasiongelee?
Haya wewe una akili sana kijana 🤣🤣
Nakuambia mwishoni lazima utasikiaa eheeee mmmhhh ngoja nimpigie mkuu wa habari wa yanga(sijui ndo hivyo au ni chawa tu) atupe maoni yake kidooogooo...eheeeee eheeeeeKidoti khanga
Ban ya siku mbili? Si nilipumzika tu?Ahaaa umerudi kutoka kwenye BAN siyo?pole sana usirudie kumtukana tena genius kama mimi..sasa kujibu hoja yako ni kwamba wale siyo waandishi wa habari..waandishi ni kama Jenerali Ulimwengu, Abdallah Majura, Stan katabalo wale ni MAKANJANJA na kuna moja hilo lazima hadi sasa lishafanya interview huko south africa kuiwashia moto simba
kuwa na heshima uki comment kwenye madini ninayoteremsha huku mimi ni hazina ya taifa, tuko wachache sana nchii wenye IQ kubwa , sawa dogo?Ban ya siku mbili? Si nilipumzika tu?
Ile ban uliyotandikwa that time karibu mwezi mzima ilikuwa kazi ya nani kama sio yangu sema nimeacha utito kama wako..
Kashaanza huko twitter anadai CAf wamesema ni ndumba aiseeeee, english nayo taabu ingawa kila siku anaenda kwenye nchi zinazozungumza english yaani jamaa ni hopeless kabisa , sasa hivi atakuwa kesha discuss na SOPE llijinga ,angle za kuongea kesho hapo EFM eti na yeye wakiitwa journalists atajitokeza, daaaahhhKidoti khanga
leo mnakiri kwamba ni wawakilshi wenu? baba katoka kupambana huko porini uliza kwanza alikutana na masaibu gani siyo unakaa tu home unakalisha kalio na kuleta lawama..simba ina make headlines across afrika iwe mbaya au nzuri na kwa soka la afrika habari ndo hiyo sasa UDI UTAENDELEA KUCHOMWA SANA safari hii tutakuwa tunatolea moshi mdomoni na ritual itafanyika palepale katikati ya uwanjaTulisha ongea sana kuhusu Simba na mambo ya kishirikina, Kama Taifa tumefedheheshwa sana. Soka letu kama nchi linaonekana ni JUJU kwenda mbele.
Simba walikosea sana kufanya kile kituko.Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na mwisho anamalizia kwa Sope zeruzeru akidai ana balance story
Wengine wataenda mbali na kupiga simu huko kwenye radio za south africa wakijadili suala la hilo na kuikandia simba kwa nguvu na akili zao zote
It will be a fun day kwa makanjanja
Tanzania hatuna wachambuzi makini wa mpira, tuna waganga njaa tu wanaojiona wanajuwa mpira. Jamaa mwenye kidoti anakera utangazaji na uchambuzi wake haswa anapomuhusisha zeruzeru wa taifa kwa kila jambo.Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na mwisho anamalizia kwa Sope zeruzeru akidai ana balance story
Wengine wataenda mbali na kupiga simu huko kwenye radio za south africa wakijadili suala la hilo na kuikandia simba kwa nguvu na akili zao zote
It will be a fun day kwa makanjanja
Mbona mlipoambiwa mliwanga mchana kweupe mlibisha?Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na mwisho anamalizia kwa Sope zeruzeru akidai ana balance story
Wengine wataenda mbali na kupiga simu huko kwenye radio za south africa wakijadili suala la hilo na kuikandia simba kwa nguvu na akili zao zote
It will be a fun day kwa makanjanja
Kwa hiyo hizo dola elfu 10 atatoa mdhamini wenu Moo, au mashabiki mtachangishana? Maana mna siku 60 tu!Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na mwisho anamalizia kwa Sope zeruzeru akidai ana balance story
Wengine wataenda mbali na kupiga simu huko kwenye radio za south africa wakijadili suala la hilo na kuikandia simba kwa nguvu na akili zao zote
It will be a fun day kwa makanjanja
anatoa sopeKwa hiyo hizo dola elfu 10 atatoa mdhamini wenu Moo, au mashabiki mtachangishana? Maana mna siku 60 tu!
Nakuunga mkono kwa baadhi ya vitendo vya wachambuzi wa soka nchini ambao mwingi umejikita kwenye ushabiki. Taswira ya wachambuzi wetu inatikana na tabia ya Watanzania wengi kupenda kushabikia jambo hata kama ni baya ilimradi liwe limetendwa na Mtu/timu anyoshabikia.Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na mwisho anamalizia kwa Sope zeruzeru akidai ana balance story
Wengine wataenda mbali na kupiga simu huko kwenye radio za south africa wakijadili suala la hilo na kuikandia simba kwa nguvu na akili zao zote
It will be a fun day kwa makanjanja