Kashaanza huko twitter anadai CAf wamesema ni ndumba aiseeeee, english nayo taabu ingawa kila siku anaenda kwenye nchi zinazozungumza english yaani jamaa ni hopeless kabisa , sasa hivi atakuwa kesha discuss na SOPE llijinga ,angle za kuongea kesho hapo EFM eti na yeye wakiitwa journalists atajitokeza, daaaahhh
View attachment 2227272