Submeter za Kijanja hakuna kushea umeme tena

Ndio kwa kwako utaendelea kuwaka.

Ndugu Yangu Soma Post zangu zilizopita.... Kwanzá hakikisha kila chumba chenye matumizi ya Umeme unafunga Submeter. Kwanza unaanza kuweka Umeme kwenye Main Meter/Luku. Kisha ndio unagawa Unit kwenye kila chumbá ulichofunga Submeter kwa kutumia App maalumu utakayopewa.
Ni dawa mkuu shida na vyumba 7 kila mmoja 150000 parefu na ndiomaana nahitaji kuweka 2 nijeongeza 2 mdogomdogo
 
Inapatikana mkoa gani.

Nicheki kwenye Namba yangu 0757838927
Wewe hizi hapa
IMG_1388.png
 
HUJANIELEWA BEI IKO POA NIMESEMA NANILE NILITAKA KUNUNUA BEI N KAMA HII 150 000 TUKASHINDWANA TU UMEME UMEISHA KWENYE MAIN..KIDUDE CHA MTU KINASOMA UNIT..UTAWAKA AKAWAMUWAZI NO...NIKAWAPA YA USIMBUFU

BEI IKOPOA NA MM MZARAMO UKIANZA ANA 150K NASOMA SURATI LEGEZA NIKIKUSHIKA MKONO KWA SALAMY HATA 125 TUNAFIKA...
Loh! nimetoka kapa!
 
Kwa uelewa wangu hiki kifaa kazi yake ni kukupimia kiasi cha umeme tu basi..kama unit zake ni 25 akimaliza kinakata ila umeme unakaa kwenye mita kuu ndio mana ni lazima wote mnunue hizo mita..wewe kama umeme wako haujaisha utabaki kwenye mita kuu ila wengine hawataweza kuutumia kama umeme wao umekwisha hivyo itabidi wananunue umeme mwingine angali mita bado ina unit kadhaa...
Swali je hio app ya kugawa umeme anakua nayo nani?ama tunakua nayo wote?
Naonelea kama vingekuwa vinaweza vikaamisha umeme wote kwenda kwenye mita yako ingekua mali sana.
 
Kwa maisha ya kibongo Tanesco walipaswa kuwa na suluhisho la submitter kitambo sana
 
Kwa uelewa wangu hiki kifaa kazi yake ni kukupimia kiasi cha umeme tu basi..kama unit zake ni 25 akimaliza kinakata ila umeme unakaa kwenye mita kuu ndio mana ni lazima wote mnunue hizo mita..wewe kama umeme wako haujaisha utabaki kwenye mita kuu ila wengine hawataweza kuutumia kama umeme wao umekwisha hivyo itabidi wananunue umeme mwingine angali mita bado ina unit kadhaa...
Swali je hio app ya kugawa umeme anakua nayo nani?ama tunakua nayo wote?
Naonelea kama vingekuwa vinaweza vikaamisha umeme wote kwenda kwenye mita yako ingekua mali sana.
aliyevinunua na kuvifunga. mara nyingi huwa wananunua wenye nyumba tu. kwa ajili ya kuwafungia wapangaji wao. kama wewe ni mpangaji usinunue. ndio hivyo..
 
mm.png

Kwa msioelewa ufanyaji kazi wa hizi submeter haya hapa maelezo mafupi.

Muhimu:
ili kuondoa changamoto za ziada ni lazima watumiaji wote wa eneo husika wafungiwe mita, sio afunge mmoja mwingine aache.

Kutoka kwenye mchoro
A- ni mita ya tanesco
B, C, na D ni submeter za kutenganisha watumiaji.

unaponunua umeme labda unit 10, ukaweka kwenye mita B (ambayo ni submeter), unit zako zitaingia kwenye mita kuu ya tanesco ambayo ni A, lakini kumbukumbu za kuingizwa unit 10 zitabaki kwenye mita B, mita C na D hazitakua na taarifa yoyote kuhusu zile unit 10 za mita B,

kwa hivyo sasa hizo submeter zote zinapowekewa umeme zitatunza kumbukumbu ya idadi ya unit zilizoingia, ila unit zote zitajikusanya kwenye mita kuu ya tanesco.

kutoka pichani submeter zimewekewa unit zifuatazo B=10, C=50, D=100
kwa idadi ya hizo unit mita kuu ya tanesco itakua na jumla ya units 160.

inapokuja kwenye kuhesabu nani katumia unit ngapi, hapa zile kumbukumbu zilizohifadhiwa na submeter husika ndipo zinapoanza kufanya kazi.

mfano mita B aliweka unit 10 tu, ila kwenye mita kuu ya tanesco kuna jumla ya unit 160, hii mita B ina uwezo kutumia unit 10 tu na si zaidi ya hapo, kwasababu ndio kumbukumbu ya units zilizoingizwa zinasomeka hivyo, kama units 10 zikiisha submeter B itakosa umeme mpaka aongeze.
 
Umeme Utanunua kwa kutumia mita ya Tanesco kisha unaingiza kwenye mita ya Tanesco kwanzá. Halafu ndio unagawa umeme Huo kwa kila Submeter kwa kutumia App maalumu utakayopewa. Kama nyuma yako ina Vyumba kumi na kila chumba umefunga Submeter, halafu mkanunua umeme Wa Laki moja. Kila mmoja atagaiwa umeme Wa Shilingi 10000. Yáani Unit 28 kila mmoja. Na kila mmoja umeme wake ukiisha kwenye Submeter yake utazima kwake tu wengine wataendelea kutumia. Bei ya kila Submeter ni sh-150,000. Pamoja na kufungiwa Kabisa. Hapo Utanunua Wa tu kwa Ajili ya muonganiko. Kuanzia Tatu Bei Unapunguziwa. ASANTE
suppose nyumba moja tunaishi A,B na C. Kuna submeter 3. Tulichanga 10.000 baada ya wiki umeisha kwa wote. C asiponunua tukinunua wawili inakuaje? Kwake hautawaka?
 
View attachment 2992573

Kwa msioelewa ufanyaji kazi wa hizi submeter haya hapa maelezo mafupi.

Muhimu:
ili kuondoa changamoto za ziada ni lazima watumiaji wote wa eneo husika wafungiwe mita, sio afunge mmoja mwingine aache.

Kutoka kwenye mchoro
A- ni mita ya tanesco
B, C, na D ni submeter za kutenganisha watumiaji.

unaponunua umeme labda unit 10, ukaweka kwenye mita B (ambayo ni submeter), unit zako zitaingia kwenye mita kuu ya tanesco ambayo ni A, lakini kumbukumbu za kuingizwa unit 10 zitabaki kwenye mita B, mita C na D hazitakua na taarifa yoyote kuhusu zile unit 10 za mita B,

kwa hivyo sasa hizo submeter zote zinapowekewa umeme zitatunza kumbukumbu ya idadi ya unit zilizoingia, ila unit zote zitajikusanya kwenye mita kuu ya tanesco.

kutoka pichani submeter zimewekewa unit zifuatazo B=10, C=50, D=100
kwa idadi ya hizo unit mita kuu ya tanesco itakua na jumla ya units 160.

inapokuja kwenye kuhesabu nani katumia unit ngapi, hapa zile kumbukumbu zilizohifadhiwa na submeter husika ndipo zinapoanza kufanya kazi.

mfano mita B aliweka unit 10 tu, ila kwenye mita kuu ya tanesco kuna jumla ya unit 160, hii mita B ina uwezo kutumia unit 10 tu na si zaidi ya hapo, kwasababu ndio kumbukumbu ya units zilizoingizwa zinasomeka hivyo, kama units 10 zikiisha submeter B itakosa umeme mpaka aongeze.
Okay kumbe umeme unaingiza kwenye submeter. Hapa nimeelewa.
 
Hizo mita hazina mpango wowote mtu akitaka mita ya peke yake aende Tanesco tu,povu ruksa.
 
Baáda ya Meter ya Jumla.

Umeme Utanunua kwa kutumia mita ya Tanesco kisha unaingiza kwenye mita ya Tanesco kwanzá. Halafu ndio unagawa umeme Huo kwa kila Submeter kwa kutumia App maalumu utakayopewa. Kama nyuma yako ina Vyumba kumi na kila chumba umefunga Submeter, halafu mkanunua umeme Wa Laki moja. Kila mmoja atagaiwa umeme Wa Shilingi 10000. Yáani Unit 28 kila mmoja. Na kila mmoja umeme wake ukiisha kwenye Submeter yake utazima kwake tu wengine wataendelea kutumia. Bei ya kila Submeter ni sh-150,000. Pamoja na kufungiwa Kabisa. Hapo Utanunua Wa tu kwa Ajili ya muonganiko. Kuanzia Tatu Bei Unapunguziwa. ASANTE

Hebu weka hapa hio app inaitwaje ?
Na inawezaje kuingilia meter ya Tanesco na kuanza kugawanya umeme? huko sio kudukua ?

View attachment 2992573

Kwa msioelewa ufanyaji kazi wa hizi submeter haya hapa maelezo mafupi.

Muhimu:
ili kuondoa changamoto za ziada ni lazima watumiaji wote wa eneo husika wafungiwe mita, sio afunge mmoja mwingine aache.

Kutoka kwenye mchoro
A- ni mita ya tanesco
B, C, na D ni submeter za kutenganisha watumiaji.

unaponunua umeme labda unit 10, ukaweka kwenye mita B (ambayo ni submeter), unit zako zitaingia kwenye mita kuu ya tanesco ambayo ni A, lakini kumbukumbu za kuingizwa unit 10 zitabaki kwenye mita B, mita C na D hazitakua na taarifa yoyote kuhusu zile unit 10 za mita B,

kwa hivyo sasa hizo submeter zote zinapowekewa umeme zitatunza kumbukumbu ya idadi ya unit zilizoingia, ila unit zote zitajikusanya kwenye mita kuu ya tanesco.

kutoka pichani submeter zimewekewa unit zifuatazo B=10, C=50, D=100
kwa idadi ya hizo unit mita kuu ya tanesco itakua na jumla ya units 160.

inapokuja kwenye kuhesabu nani katumia unit ngapi, hapa zile kumbukumbu zilizohifadhiwa na submeter husika ndipo zinapoanza kufanya kazi.

mfano mita B aliweka unit 10 tu, ila kwenye mita kuu ya tanesco kuna jumla ya unit 160, hii mita B ina uwezo kutumia unit 10 tu na si zaidi ya hapo, kwasababu ndio kumbukumbu ya units zilizoingizwa zinasomeka hivyo, kama units 10 zikiisha submeter B itakosa umeme mpaka aongeze.
Changamoto
Sasa huyo atakuwa anakazi ya kugawia umeme kila mpangaji kwa kutumia hiyo app ni mwenye nyumba, yaani kila mkitaka kujaza mnamuita aje kugawa pasu, hii kazi basi
 
Okay kumbe umeme unaingiza kwenye submeter. Hapa nimeelewa.
Hapana, umeme wote unaingizwa kwenye mita ya Tanesco, halafu wanasema kuna app inaongea na mita ya Tanesco kuimbia mpangaji huyu mpe luku kadhaa, sasa hio app ni ya Tanesco? na imeruhusiwa na Tanesco ?
 
Back
Top Bottom