Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Zamani wapiga ngoma walikuwa wanaanika au wanapasha ngoma zao karibu na moto ili zitoe mlio mzuri. ngoma ambayo haijakauka vizuri hulia vibaya na inakera sana.
Sasa ndivyo zilivyo sabufa. Zinalia kama ngoma iliyolowa. Ukikaa karibu na mtu mwenye sabufa au inapopigwa ni kero sana.
Napendekeza TBS wapige marufuku uingizaji wa sabufa. Hazijakizi vigezo kwa matumizi ya binadamu.