Success at school vs success in life

Success at school vs success in life

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Hivi kwa nini mara nyingi sana wale waliokuwa hawana uwezo kielimu wanafanikiwa Kimaisha na wale waliokuwa wanaakili mnoo ndio wanakazi za kielimu Lakini can’t make money .
9BC4AAB5-2A25-4D54-AA9E-76AA08540D99.jpeg
63EA6DBA-7E18-4407-B6DC-C90F9C6BF169.jpeg
F86BD129-AF1A-478A-AE4D-9F51CD288CA6.jpeg
F8060EDF-4A56-4C92-96D4-CA0AE9EB3C1A.jpeg
E660FB01-513F-4F57-98D4-9EA7798B9615.png
C09369B6-AA80-4FBC-ADA8-140F3D8A2987.jpeg
 
Jiaminishe! Kati ya 100 unaowajua darasani walikuwa vilaza lakini maishani wametoboa kuliko wale smart darasani ni wangapi?

Usichukulie mmoja kati ya mia ukatoa takwimu! All in all Elimu ndio njia ya maana ya kutabilika kuwa uwezekano was kufanikiwa ni mkubwa ndo maana mzazi ambaye hakusoma akaja kufanikiwa atatumia nguvu muda na pesa kuhakikisha anasomesha watoto.

Hata katika jamii ukiwa umesoma alafu maisha yako hayaeleweki jamii inakushangaa. Wataulizana jamaa kasoma lakini sijui kawaje kwasababu ya maisha anayoishi.

Lakini mtu amabaye hakusoma au darasani alikuwa mjinga hata kama maisha yakimpiga jamii itasema "unaona hata darasani alikuwa kilaza au hakusoma au alikataa shule".

Kijana ondoa ujinga mubichwa lako jua kwamba dunia hii inaongozwa na wasomi!
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema, Mungu hakupi vyote...

In nature when you are left with nothing there are two things that your brain will do....

Either push you to do more and be comfortable or step back and mourn that life has never been good to you neither fair and accept that you are born to suffer...

The end result will determine ....
 
Una Data au umeandika tu, list ya matajiri 100 wakubwa duniani 75% wamesoma.

Matajiri wakubwa Tz wengi wamesoma.

Wajasiliamari vijana wanaopanda kwa kasi Tz graduate.

LEVEL YA NINAPOISHI

Honestly kuna wale mabraza wa mtaa hakuna hata mmoja ambaye hata amejenga nyumba mpaka sasa na gari kwao anasa ila mabraza walosoma wanajenga mijengo na mamiliki mandinga.

KWA LEVEL YANGU

Ambao nilikuwanao sawa darasani wakaishia njiani mimi nikaendelea ndio hawana wanachomoliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini mara nyingi sana wale waliokuwa hawana uwezo kielimu wanafanikiwa Kimaisha na wale waliokuwa wanaakili mnoo ndio wanakazi za kielimu Lakini can’t make money .
"bs" lipo mahali pake?
Walio na fedha nyingi wengi ni wale wenye elimu ya kati au kidogo. Hawaonagi shida kujilipua ili kuitimiza ndoto yao. Msomi yeye anafuata story na mifumo ya maandiko.
Utajiri hauna fomular, wasio na elimu kubwa ndio wanaujua mfumo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No retreat no surrender,
Watu wote billionaires hawajaenda shule na hawakuwa na uwezo kidarasa au walikuwa wanapoteza muda .Yes shule unapata knowledge ila inapokuja kimaisha make money tabu walio na elimu saana .yes watakuwa na phd na professors ila naongelea uwanja wa pesa na maisha inakuwa Ngumu
 
Attachments

  • 103A5A6F-049C-4C9F-9418-7B041A616063.jpeg
    103A5A6F-049C-4C9F-9418-7B041A616063.jpeg
    60.6 KB · Views: 1
  • 9BF79E13-5B4A-447F-8840-5EDA80AA6691.jpeg
    9BF79E13-5B4A-447F-8840-5EDA80AA6691.jpeg
    97.2 KB · Views: 1
  • BB084B9A-22AD-4A4D-94D8-B983D00B73E5.jpeg
    BB084B9A-22AD-4A4D-94D8-B983D00B73E5.jpeg
    22.4 KB · Views: 1
  • DBE5C7B7-FCB2-4830-A618-F2E279E92E47.jpeg
    DBE5C7B7-FCB2-4830-A618-F2E279E92E47.jpeg
    26.8 KB · Views: 1
  • 4666A196-295F-4CD2-A15C-F5DDCED0DA66.png
    4666A196-295F-4CD2-A15C-F5DDCED0DA66.png
    25.8 KB · Views: 1
  • 960A7231-D711-41F1-9BF1-E6C7E5E26813.jpeg
    960A7231-D711-41F1-9BF1-E6C7E5E26813.jpeg
    111.2 KB · Views: 1

Attachments

  • 9C3AD45A-A1A9-440E-A0E7-503A15ACA35F.jpeg
    9C3AD45A-A1A9-440E-A0E7-503A15ACA35F.jpeg
    97.2 KB · Views: 1
  • 492C9C7A-9911-45F6-8D28-3BB76EAD4786.jpeg
    492C9C7A-9911-45F6-8D28-3BB76EAD4786.jpeg
    60.6 KB · Views: 1
  • 7974CC8F-D21C-4849-8AAE-5449DFABE193.jpeg
    7974CC8F-D21C-4849-8AAE-5449DFABE193.jpeg
    26.8 KB · Views: 1
  • 9863AB6C-98AF-4D27-9BA9-18B75F3CA251.png
    9863AB6C-98AF-4D27-9BA9-18B75F3CA251.png
    25.8 KB · Views: 1
  • 2917D73A-6CC6-4AFC-839A-E982AF4BDF89.jpeg
    2917D73A-6CC6-4AFC-839A-E982AF4BDF89.jpeg
    22.4 KB · Views: 1
  • 91C614D6-0B6C-404F-A964-EC31EF084C81.jpeg
    91C614D6-0B6C-404F-A964-EC31EF084C81.jpeg
    111.2 KB · Views: 1
"bs" lipo mahali pake?
Walio na fedha nyingi wengi ni wale wenye elimu ya kati au kidogo. Hawaonagi shida kujilipua ili kuitimiza ndoto yao. Msomi yeye anafuata story na mifumo ya maandiko.
Utajiri hauna fomular, wasio na elimu kubwa ndio wanaujua mfumo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
N.b
Elimu kubwa=MASTERS na kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wote billionaires hawajaenda shule na hawakuwa na uwezo kidarasa au walikuwa wanapoteza muda .Yes shule unapata knowledge ila inapokuja kimaisha make money tabu walio na elimu saana .yes watakuwa na phd na professors ila naongelea uwanja wa pesa na maisha inakuwa Ngumu
Endelea kuji comfort!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una Data au umeandika tu, list ya matajiri 100 wakubwa duniani 75% wamesoma.

Matajiri wakubwa Tz wengi wamesoma.

Wajasiliamari vijana wanaopanda kwa kasi Tz graduate.

LEVEL YA NINAPOISHI

Honestly kuna wale mabraza wa mtaa hakuna hata mmoja ambaye hata amejenga nyumba mpaka sasa na gari kwao anasa ila mabraza walosoma wanajenga mijengo na mamiliki mandinga.

KWA LEVEL YANGU

Ambao nilikuwanao sawa darasani wakaishia njiani mimi nikaendelea ndio hawana wanachomoliki.

Sent using Jamii Forums mobile app

I’m talking about money in the bank .sio nyumba za mikopo na Magari ya mikopo .Ukistaafu pension ya waziri tanzania Laki 7 katibu mkuu laki 6 mkurugenzi wa wizara laki 2 .Na ukistaafu malipo waziri dollar 90,000katibu mkuu dollar 80,000.ITS a waste of time
 
Unamiliki account ngapi za watu nisimalize damu tu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha basi, hakuna hata mmoja uliowataja anapata pensheni kiduchu hivyo
Za kuambiwa changanya na zako

Back
Top Bottom