gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Mabroo wote ambao walikuwa very smart shule full kushika unamba hakuna mwenye maisha mabovu hata mmoja wote wana mitonyo ya kuchelema, bro mmoja alikuwa best student DIT sasa HV anafanya kazi Azania bank, duuh hilo jumba alilolijenga huko mbezi kufuru, mindinga anayopush noma, kila siku anaenda Dubai first class, wana niliowaacha kitaani hali mbaya tu,