Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
na mm ninatafta wa kumtania sjampata bado wakati wake wajaBora hata umeliona hilo. Anatania shemeji zake huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mm ninatafta wa kumtania sjampata bado wakati wake wajaBora hata umeliona hilo. Anatania shemeji zake huyo.
Huyu jamaa nafikiri kuna mahali anahisi namzibia maanake anapenda sana kunichafulia jina.
Kumbe na yeye havumi ila yumo!🤔
Naomba unitungie thread na mimi nitakutungia...Huyu jamaa nafikiri kuna mahali anahisi namzibia maanake anapenda sana kunichafulia jina.
Anahisi.....naanzaje kumendea vivuli?!!!Itakuwa kuna mtu ana chura afu unammendea..
Anatuonea kweli. Wapole ndo anatuita pasua vichwaAnahisi.....naanzaje kumendea vivuli?!!!
Unataka nikutungie ya kuigiza au ya ukweli?Naomba unitungie thread na mimi nitakutungia...
Hahaha tania hata ndugu zake mamiina mm ninatafta wa kumtania sjampata bado wakati wake waja
kwema darling??akikujibu niite dada asikufanye mwehu
Ngoja nianze kujipanga maana hili si jambo la kukurupukia![emoji16]
wakati nakutafutia jibu naomba tuamie lile darasa lingineHahaha. Yale mashairi ya Madame nani alikuandikia?
Aunt umemissika jamaani! Upo kweli?Anatuonea kweli. Wapole ndo anatuita pasua vichwa
Alaa....mimi si ndio nimekwambia unitungie? Una baraka zangu zoteNgoja nianze kujipanga maana hili si jambo la kukurupukia![emoji16]
Aunt umemissika jamaani! Upo kweli?
mtaani wako si mzaramu na msambaa unaniambiaga hivi ama sivyo??na mm ninatafta wa kumtania sjampata bado wakati wake waja
Pamoja na kunipa baraka, lazima nitunge mistari itakayowarusha roho akina Behaviourist Hivyo nahitaji kujipanga[emoji23]Alaa....mimi si ndio nimekwambia unitungie? Una baraka zangu zote
Usisahau kunitag ... Ila mwambie uwe wa kiswahili.Alaa....mimi si ndio nimekwambia unitungie? Una baraka zangu zote