RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hivi humu kuna watu wanafikia kuwa wapenzi kabisa? Ngoja na mimi nitafute wa ku act nae movie humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi humu kuna watu wanafikia kuwa wapenzi kabisa? Ngoja na mimi nitafute wa ku act nae movie humu.
Mimi nasubiria uzi wake na Saint Ivuga!Wow! Nasubiria uzi wako na mtakatifu[emoji16][emoji16]
Mbona wewe na nanilihu hapa JF mlifikia kuwa wapenzi kabisa halafu ukawa mjinga!Hivi humu kuna watu wanafikia kuwa wapenzi kabisa? Ngoja na mimi nitafute wa ku act nae movie humu.
Mbona wewe na nanilihu mlifikia kuwa wapenzi kabisa halafu ukawa mjinga!
Cha kwanza My sweetheart i promise you mimi sitakuwa mjinga b'cause i don't wanna lose that chura!Naomba ubuyu sweetheart
Cha kwanza My sweetheart i promise you mimi sitakuwa mjinga b'cause i don't wanna lose that chura!
Wtf......Mbona wewe na nanilihu mlifikia kuwa wapenzi kabisa halafu ukawa mjinga!
Hahaha. Yale mashairi ya Madame nani alikuandikia?cute b huu mwezi naona hauishi tuanzie hapa me naona duble duble tu
akikujibu niite dada asikufanye mwehuHahaha. Yale mashairi ya Madame nani alikuandikia?
Wewe act tu, wenzio wanafanya kweli!Hivi humu kuna watu wanafikia kuwa wapenzi kabisa? Ngoja na mimi nitafute wa ku act nae movie humu.
Siku ukiletwa uzi wao naomba unitag ili nije kuwatakia heri na fanakaMimi nasubiria uzi wake na Saint Ivuga!
Kumbe na yeye havumi ila yumo!🤔Mbona wewe na nanilihu hapa JF mlifikia kuwa wapenzi kabisa halafu ukawa mjinga!
Wewe act tu, wenzio wanafanya kweli!
Bora hata umeliona hilo. Anatania shemeji zake huyo.akikujibu niite dada asikufanye mwehu
Mbona wewe na nanilihu hapa JF mlifikia kuwa wapenzi kabisa halafu ukawa mjinga!