Sudan: Mwanamke afungwa jela kwa kumbusu Mwanaume

Je ukiomda mdogo Ako anambusu mtu utamuua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mmoja na anavyoweza kuhimili hasira zake.
Kuuwa, kupiga, kulia, ni matoleo tu ya hasira.
Kuchukia tu inaoneaha ai jambo linalopendeza.

Wazaz wangapi wameuwa kisa kugundua mtu anabutua binti yake, kuna kisa kilitokea mexico, dogo alikuwa anakula mtoto wa don mmoja, video ikavuja, dogo akapelelwa kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…