Sudan: Watu wameanza kula majani ya pori au chakula cha mifugo ili kuendelea kuishi

Kuna mijitu humu huwa hizi habari za migogoro ya ndani ya Afica hujidai haiwahusu ila sasa ile ya ughaibuni inawasikitisha na kuwakasirisha sana,shwaini zao na utumwa wao.
 
😁😁😁 Ilawejamaa una Sumu kali sana ya chuki ondosha hiyo Roho yachuki weka Ubinadamu kwanza hao sio wanyama hata wanyama ukiwanyima chakula Unapata dhambi,
Sijaleta hiyo taarifa kwasababu wao ni waislamu na huko wakristo pia wapo na hiyo vita si ya kidini, kuwa mnyenyekevu na huruma 🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
Kwa hiyo hao wapumbavu wanao chinjana wana roho nzuri ila mimi ndiyo nina roho ya chuki kwa kuwaita wapumbavu 🙄🙄🙄 wewe bila ya shaka ni ANITHI WA AKILI
 
Vindaki ndaki brainwashed washambuli hatari from Hamas squid huku hawawezi kuja Webabu Ritz Adiosamigo Wickama bitimkongwe Mindray gTurn Digitaldreamer
Kama wewe Mlaleo naona umejisema kabisa sababu upo brainwashed na hili la Israel na Palestine 🤣🤣🤣
Halafu kina Webabu wapo busy na njaa ya Wapalestina while waongo tu, huwasikii wakiwa busy na our fellow blacks! Israel Vs Hamas utadhani tuna undugu nao.
Kwanini nyie msiwe busy na ya Sudan?
 
Ndio mambo yako makobaz.. Yakishiba yanawaza kujilipua lipua tu.. Ata hapo gaza hivo hivyo, myahudi bana chakula kabisaa., hadi yateme bungoo
Hapo inatakiwa ubinadamu utofauti wa dini kabila rangi usiondoshe Uhalisia wetu kuwa ni Watu na jambo kama hilo hata Tanzania linaweza kutokea punguza chuki kwanza Uislamu haumtukani unae mwamini 🙏🏽🙏🏽
 
Kwa hiyo hao wapumbavu wanao chinjana wana roho nzuri ila mimi ndiyo nina roho ya chuki kwa kuwaita wapumbavu 🙄🙄🙄 wewe bila ya shaka ni AN9THI WA AKILI
Samahani bwana mkubwa 🙏🏽 naona unashindwa kudhibiti hasira zako tuishie hapa
 
Huu mgogoro upo hivi boss wa RSF alikuwaga mtu mzito wa serikali akawa anapachika watu wa kabila lake serikalini idara nyeti dini haihusiki.

Boss wa gvt Burhan alipokuja kusanuka ikawa too late sana ndio utaona RSF inasonga mbele kila sehem walijiandaa.

Hapa hata u Africa hauhusiki ni utashi wa mtu binafsi na tamaa zake (Boss wa RSF)

UAE anahusishwa kusupply silaha kwa RSF via Chad na Libya behind UAE kuna US as weapons dealer pia Kenya ana support kwamlango wa nyuma.

Vikosi vya Serikali vinapokea msaada from Iran na Egpty kwaio kila upande unanguvu raia ndio wanaoumia.
Jumuia ya kimataifa imeupa mgongo huu mgogoro sanctions zinazotoka hzina effect kama kwa Urusi na China na Iran .

Sometimes Omar Al Bashir ni bora kuliko hawa Two bulls beside political crackdown, ukabila unawatafuna sana.

Solution kutuma UN vikosi at least kupeleka vyakula as in Congo, Haiti na Somalia lkn who cares? No body not even Fellow Africans why are we blaming islam what's happening in Congo Haiti and Myanmar.
 
Israel Vs Hamas utadhani tuna undugu nao.
Israeli ni Tiafa la Mungu sisi wakristo tumeumbwa kuwatumikia, ukimsaidia myahudi unabarikiwa, ukimkera myahudi unaangamia, mlevi mmoja wa Imani alisema hivyo🤣🤣😁🤣
 
Mlikuwa mnakata mauno hadharani October 7, 23 kwa kushangilia mkibweka Allah Akbar. Kiko wapi sasahivi hata hiyo Allah Akbar mnashindwa kubweka na wale wanaweza wanabweka kwa kujikaza huku wamebanamarinda kwa maumivu makali maamae.

NETANYAHU AKBAR!
 
Habari: El Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini nchini Sudan, umekuwa chini ya mzingiro wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) kwa zaidi ya miezi 14, hali iliyosababisha janga kubwa la kibinadamu kwa wakazi takriban 900,000.

Athari kwa Binadamu
Masoko yamekauka, bidhaa za msingi kama sukari, unga na mafuta hazipatikani au ni ghali mno. Mfano, gunia la sukari linauzwa kwa zaidi ya pauni bilioni 2 za Sudan.
Watu wameanza kula majani ya pori au chakula cha mifugo ili kuendelea kuishi.

Kutokana na ukosefu wa dawa na maji safi, milipuko ya magonjwa kama kipindupindu imeongezeka. Vifo vya kipindupindu vimeripotiwa kuwa zaidi ya 191.
Takriban asilimia 40 ya watoto walio chini ya miaka mitano wanaugua utapiamlo mkali.

Zaidi ya watu 400,000 wamekimbia makazi yao.
Misafara ya misaada ya kibinadamu hushambuliwa na wanamgambo, hali inayozuia misaada kuwafikia walioko ndani ya mji.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa RSF kusitisha mzingiro na kulinda raia, lakini hali bado haijabadilika.
RSF inaendelea kuzuia upatikanaji wa chakula, mafuta, na dawa, na hivyo kuongeza mateso kwa wakazi.

www.aljazeera.com/news/2024/6/13/un-security-council-demands-end-to-siege-of-el-fasher-in-sudans-darfur?

Hawa wahuni wa RSF ni wanyama mno..
 
Hao RSF lengo lao kuwamaliza wasudan "weusi" AU iwapelekee msaada wa msosi watu hao. Hatutaki miaka ijayo tuanze kusoma habari za watu walikufa kwa mateso.
 
Mlikuwa mnakata mauno hadharani October 7, 23 kwa kushangilia mkibweka Allah Akbar. Kiko wapi sasahivi hata hiyo Allah Akbar mnashindwa kubweka na wale wanaweza wanabweka kwa kujikaza huku wamebanamarinda kwa maumivu makali maamae.

NETANYAHU AKBAR!
Israeli ni Tiafa la Mungu sisi wakristo tumeumbwa kuwatumikia, ukimsaidia myahudi unabarikiwa, ukimkera myahudi unaangamia, mlevi mmoja wa Imani alisema. 🤣🤣😁
 
NETANYAHU AKBAR MAAMAE
 
Huu mgogoro upo hivi boss wa RSF alikuwaga mtu mzito wa serikali akawa anapachika watu wa kabila lake serikalini idara nyeti dini haihusiki.

Boss wa gvt Burhan alipokuja kusanuka ikawa too late sana ndio utaona RSF inasonga mbele kila sehem walijiandaa.

Hapa hata u Africa hauhusiki ni utashi wa mtu binafsi na tamaa zake (Boss wa RSF)

UAE anahusishwa kusupply silaha kwa RSF via Chad na Libya behind UAE kuna US as weapons dealer pia Kenya ana support kwamlango wa nyuma.

Vikosi vya Serikali vinapokea msaada from Iran na Egpty kwaio kila upande unanguvu raia ndio wanaoumia.
Jumuia ya kimataifa imeupa mgongo huu mgogoro sanctions zinazotoka hzina effect kama kwa Urusi na China na Iran .

Sometimes Omar Al Bashir ni bora kuliko hawa Two bulls beside political crackdown, ukabila unawatafuna sana.

Solution kutuma UN vikosi at least kupeleka vyakula as in Congo, Haiti na Somalia lkn who cares? No body not even Fellow Africans why are we blaming islam what's happening in Congo Haiti and Myanmar.
Huyo Omar Al Bashir ndiye aliyeanzisha kundi la kigaidi la RSF (Janjaweed).
 
Habari: El Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini nchini Sudan, umekuwa chini ya mzingiro wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) kwa zaidi ya miezi 14, hali iliyosababisha janga kubwa la kibinadamu kwa wakazi takriban 900,000.

Athari kwa Binadamu
Masoko yamekauka, bidhaa za msingi kama sukari, unga na mafuta hazipatikani au ni ghali mno. Mfano, gunia la sukari linauzwa kwa zaidi ya pauni bilioni 2 za Sudan.
Watu wameanza kula majani ya pori au chakula cha mifugo ili kuendelea kuishi.

Kutokana na ukosefu wa dawa na maji safi, milipuko ya magonjwa kama kipindupindu imeongezeka. Vifo vya kipindupindu vimeripotiwa kuwa zaidi ya 191.
Takriban asilimia 40 ya watoto walio chini ya miaka mitano wanaugua utapiamlo mkali.

Zaidi ya watu 400,000 wamekimbia makazi yao.
Misafara ya misaada ya kibinadamu hushambuliwa na wanamgambo, hali inayozuia misaada kuwafikia walioko ndani ya mji.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa RSF kusitisha mzingiro na kulinda raia, lakini hali bado haijabadilika.
RSF inaendelea kuzuia upatikanaji wa chakula, mafuta, na dawa, na hivyo kuongeza mateso kwa wakazi.

www.aljazeera.com/news/2024/6/13/un-security-council-demands-end-to-siege-of-el-fasher-in-sudans-darfur?

Huu upuuzi sihusikii bara la amerika ya kusini sihusikii bara la asia sihusikii bara la ulaya ni huku tu ambapo bado tumegoma kubadilika kimaisha bado tupo zama ya ujima
 
Kwakweli hilo jambo linatafakarisha sana alafu la kushangaza utakuta ni wasomi
 
Back
Top Bottom