Shida kubwa ya sisi ngozi nyeusi ni ubinafsi...Hata nashindwa kuelewa kama wangekaa chini pamoja na kuwa na umoja kuendeleza taifa wangepungukiwa nini!?
Kuna habari nilitizama raia wanasema RSF wanatumia mercenaries wengine wanaonekana kutoka West Africa hawana huruma wao wakikuta hata mtoto wanapiga panga.
Afrika tuna matatizo sana aisee.
Ndio maana hata UN imewapuuza imeona wacha wauane tu akili ikiwakaa sawa wataacha upuuzi wao.Shida kubwa ya sisi ngozi nyeusi ni ubinafsi...
Habari: El Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini nchini Sudan, umekuwa chini ya mzingiro wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) kwa zaidi ya miezi 14, hali iliyosababisha janga kubwa la kibinadamu kwa wakazi takriban 900,000.
Athari kwa Binadamu
Masoko yamekauka, bidhaa za msingi kama sukari, unga na mafuta hazipatikani au ni ghali mno. Mfano, gunia la sukari linauzwa kwa zaidi ya pauni bilioni 2 za Sudan.
Watu wameanza kula majani ya pori au chakula cha mifugo ili kuendelea kuishi.
Kutokana na ukosefu wa dawa na maji safi, milipuko ya magonjwa kama kipindupindu imeongezeka. Vifo vya kipindupindu vimeripotiwa kuwa zaidi ya 191.
Takriban asilimia 40 ya watoto walio chini ya miaka mitano wanaugua utapiamlo mkali.
Zaidi ya watu 400,000 wamekimbia makazi yao.
Misafara ya misaada ya kibinadamu hushambuliwa na wanamgambo, hali inayozuia misaada kuwafikia walioko ndani ya mji.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa RSF kusitisha mzingiro na kulinda raia, lakini hali bado haijabadilika.
RSF inaendelea kuzuia upatikanaji wa chakula, mafuta, na dawa, na hivyo kuongeza mateso kwa wakazi.
www.aljazeera.com/news/2024/6/13/un-security-council-demands-end-to-siege-of-el-fasher-in-sudans-darfur?
Sudan: Thousands resort to eating animal feed to survive in besieged Al Fashir
Al Fashir, and its 900,000 inhabitants, have been held hostage by the paramilitary Rapid Support Forces for 14 months. Food and fuel is blocked from entering, and its people are suffering as a result.news.sky.com
Halafu utasikia mjinga mkubwa mmoja yeye ni Israel na Palestine kutwa kucha.Habari: El Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini nchini Sudan, umekuwa chini ya mzingiro wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) kwa zaidi ya miezi 14, hali iliyosababisha janga kubwa la kibinadamu kwa wakazi takriban 900,000.
Athari kwa Binadamu
Masoko yamekauka, bidhaa za msingi kama sukari, unga na mafuta hazipatikani au ni ghali mno. Mfano, gunia la sukari linauzwa kwa zaidi ya pauni bilioni 2 za Sudan.
Watu wameanza kula majani ya pori au chakula cha mifugo ili kuendelea kuishi.
Kutokana na ukosefu wa dawa na maji safi, milipuko ya magonjwa kama kipindupindu imeongezeka. Vifo vya kipindupindu vimeripotiwa kuwa zaidi ya 191.
Takriban asilimia 40 ya watoto walio chini ya miaka mitano wanaugua utapiamlo mkali.
Zaidi ya watu 400,000 wamekimbia makazi yao.
Misafara ya misaada ya kibinadamu hushambuliwa na wanamgambo, hali inayozuia misaada kuwafikia walioko ndani ya mji.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa RSF kusitisha mzingiro na kulinda raia, lakini hali bado haijabadilika.
RSF inaendelea kuzuia upatikanaji wa chakula, mafuta, na dawa, na hivyo kuongeza mateso kwa wakazi.
www.aljazeera.com/news/2024/6/13/un-security-council-demands-end-to-siege-of-el-fasher-in-sudans-darfur?
Sudan: Thousands resort to eating animal feed to survive in besieged Al Fashir
Al Fashir, and its 900,000 inhabitants, have been held hostage by the paramilitary Rapid Support Forces for 14 months. Food and fuel is blocked from entering, and its people are suffering as a result.news.sky.com
Wapo wengi watumwa wa Palestina na Israel wakati waafrika wenzao wanachinjana hapo Sudan na Congo. Ngozi nyeusi ina machungu na raia wa Gaza au Israel kuliko Sudan na Congo. Watu weusi wako hatua za kua Binadamu kamiliKuna mijitu humu huwa hizi habari za migogoro ya ndani ya Afica hujidai haiwahusu ila sasa ile ya ughaibuni inawasikitisha na kuwakasirisha sana,shwaini zao na utumwa wao.
Wewe unadhani wafuasi wa CHADEMA wasingekuwa wastaarabu nini kingekuwa kinaendelea leo hapa Tanzania kama siyo vita...watu wanatembea kwenda mahakamani ila polisi wanawapiga na kuwateka; viongozi wao wanawekwa ndani bila sababu kila kukicha.Huu upuuzi sihusikii bara la amerika ya kusini sihusikii bara la asia sihusikii bara la ulaya ni huku tu ambapo bado tumegoma kubadilika kimaisha bado tupo zama ya ujima