dreamchaser18
Member
- May 21, 2014
- 88
- 36
ww ndo hujui kumbe, hao wasanii wenyewe ndo huwa wanamtafuta sud brown, mm kuna msanii mmoja naishi nae hapa mtaani huwezi kuamini anapenda sana kusoma magazet ya KIU na RISASI, kifupi anayahusudu sana magazet ya shigongo ambayo inshort ni umbea 100%. wasanii wetu wanapenda sana media tension, kuna wasanii wakipgiwa cm na sudi wanaona fahar mno.
tupo pamoja watuache na shushushu wetu mkuuuMuacheni Soudy jamani,mmeombwa mumsome?
Huku mnamwaga povu lakini huko Insta kila saa mnachungulia kapost nini!
Namkubali Soudy kinomanoma.
hawezi kumsema mange na soudy amemfollow mange na umbeya mwngne anachukua kwa mange akimsema mange tutajua mengiHivi Soudy amewahi kumsengenya Mange?
hahahahaaใsi utani.kuna watu mna vituko jfMuandishi mpya wa Hotuba za rais
Huwezi ukafahamu Umuhimu wa Huyu jamaa katika Kipindi cha XXL na Katika Burudan kwa ujumla kama wewe sio mpenda Burudani.Ndio nani huyo? ana Impact gani katika Taifa?
na XXL ndio nini tena?Huwezi ukafahamu Umuhimu wa Huyu jamaa katika Kipindi cha XXL na Katika Burudan kwa ujumla kama wewe sio mpenda Burudani.
Ngoja siku aje akupe umbea wako ndo utazidi kumkubali, ila umbea kwa wanaume hapana jamani mmh!! Hasa umbea wa uchonganishi watoto na baba zao, jamaa hata kama alikua hajashtuka kubambikiwa mtoto sasa ataanza kupata wasiwasi! Muwaache watoto pigeni umbea mwingine mtaja waharibia future zaoMuacheni Soudy jamani,mmeombwa mumsome?
Huku mnamwaga povu lakini huko Insta kila saa mnachungulia kapost nini!
Namkubali Soudy kinomanoma.
๐๐๐ we jamaa nina wasi wasi na URAIA wako.na XXL ndio nini tena?
Mkuu tueleweshane. hayo mambo hatuyajui wengi๐๐๐ we jamaa nina wasi wasi na URAIA wako.