Sudi brown acha kutengeneza pesa kwa kudhalilisha watu

Sudi brown acha kutengeneza pesa kwa kudhalilisha watu

ww ndo hujui kumbe, hao wasanii wenyewe ndo huwa wanamtafuta sud brown, mm kuna msanii mmoja naishi nae hapa mtaani huwezi kuamini anapenda sana kusoma magazet ya KIU na RISASI, kifupi anayahusudu sana magazet ya shigongo ambayo inshort ni umbea 100%. wasanii wetu wanapenda sana media tension, kuna wasanii wakipgiwa cm na sudi wanaona fahar mno.

Ulichosema kama kina ukweli kama hawapendi magazeti yangefungiwa
 
1472932721170.jpg
 
Muacheni Soudy jamani,mmeombwa mumsome?
Huku mnamwaga povu lakini huko Insta kila saa mnachungulia kapost nini!
Namkubali Soudy kinomanoma.
tupo pamoja watuache na shushushu wetu mkuuu
 
Mwanaume anayefuatilia wanaume wawatu ni hatari sana huwa ni miongoni mwa mwa wanaotuibia sema tu thnahangaika na michepuko ya kike kuna hii ya dizaini hii! akimpenda mumeo atakusakama kumbe anamtaka
 
Wekeni kapicha tuwaone mana wengine hatuwafahamu hao wote
 
mambo ya binadaaam hayo!!!!!
 
Wasanii wenyewe ndo huwa wanamtafuta soud wakishaona hawaongelewi basi wanatafuta kick
 
Muacheni Soudy jamani,mmeombwa mumsome?
Huku mnamwaga povu lakini huko Insta kila saa mnachungulia kapost nini!
Namkubali Soudy kinomanoma.
Ngoja siku aje akupe umbea wako ndo utazidi kumkubali, ila umbea kwa wanaume hapana jamani mmh!! Hasa umbea wa uchonganishi watoto na baba zao, jamaa hata kama alikua hajashtuka kubambikiwa mtoto sasa ataanza kupata wasiwasi! Muwaache watoto pigeni umbea mwingine mtaja waharibia future zao
 
Uwepo wa huyu jamaa pale Clauds, umechangia kukua kwa kipindi cha XXL na vipindi vingine ambavyo yeye mwenyewe kavi-produce na Kuvi-present. Huyu jamaa na team yake walikaa wakagundua Asilimia kubwa ya vijana ndio wanafuatilia mambo ya Burudani na Hasa Upande wa Habari za Mastar (Including PURE UDAKU), hivyo aka-kamata Fursa na akawabamba kinoma yan. Mbona TMZ.COM wao kila muda ni UDAKU tuu na bado Wadau hatujigusi. Mwacheni bhana maana akiwa Mmbea na bado anaingiza mkwanja mrefu kwa siku sio sawa na wewe unaekesha katika BETING na Chating kwenye magroup ya NGONO whatsapp na bado hupati hata sumni.
 
Back
Top Bottom