Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Milio ya risasi ilisikika usiku wa kuamkia jumapili 24/08 saa 1:30 kwenye klabu ya usiku ya 10AK, West Hollywood kwenye pre-VMA party. Baadae ilifahamika kuwa co-founder na former CEO wa Death Row Records, Suge Knight ndiye alikua mlengwa usiku ule.
Watu walioshudia wanasema Suge alipigwa risasi ya tumboni, mkono na sehemu nyingine, lakini aliWahishwa hospitali mara moja.
Kwasasa polisi wamejaribu kumuhoji kuhusiana na tukio hilo lakini Suge ameshindwa kutoa ushirikiano kabisa na kusababisha kukwama kwa uchunguzi.
Imekuwa ni vigumu kupata nafasi ya kuongea nae na hata walipopata nafasi, Suge mwenyewe alifanya kushangaa eti hajui kinachoendelea.
Inasemekana Suge Knight hataki kuongelea au kutaja maadui zake ili asionekane SNITCH.
Ikumbukwe kuwa marehemu Tupac Shakur usiku aliouwawa alikuwa na pamoja Suge Knight.
Source TMZ